Mmmh!!!Hata paka anastahili kuitwa hivyo
![]()
![]()
![]()
......
Hayuko hivyo bana... Utani mwingi tu huyoTogwa la ngomani hilo..![]()
![]()
Wewe tu na ngata yako.. ukitaka unachota unakunywa, kikombe waweka kando, mwingine nae akija hvyo hvyoo..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.
Siwez babu.. yaan katika wanangu top 3, shululu yumo.Sawa kabisa... Unaweza anzisha ww3
Salama tu kapuku..Za asubuhi makapuku wote, natumaini tumeamka salama
We husna vipi tena? Si ungeshea avatar na Obe?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wifi!!!!
Najua.. hata mie natania pia.Hayuko hivyo bana... Utani mwingi tu huyo
Na mkuu Shululu na wewe umechukua avatar ya maka?