Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Sakayo nimekumis ujue masalimie na kaka mkubwa mwambie mndali anakusalimiaSame to you
Sakayo nimekumis ujue masalimie na kaka mkubwa mwambie mndali anakusalimiaSame to you
Teh teh teh.. mie sina zamu, joka la kibisa mie..Zamu ya babu yako
Ya makaveli ni kesho
Halaf msiongee mambo yenu.. mama kanikataza michezo hyo bhna.Zamu ya babu yako
Ya makaveli ni kesho
Kumbe charambe tuu hapo..![]()
![]()
mi Niko charambe mkuu
Birthday ya fid qsoon nitaleta breefing.
leo ni August 13..! Left Handers Day...
kama unatumia mkono wa kushoto nyoosha kidole.
Salama tu ndugu yangu... vip huko..Asante makaveli habari ya uzima wa hapo ulipo
Aahh.. usijali kawaida kupotea na kuonekana..Mkuu nipo siku nyingi humu japo kwa sasa nimetingwa kidogo ndo maana naingia kwa nadra sana
Huku kwema kabisa mkuu tupo tunamalizia weekendSalama tu ndugu yangu... vip huko..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Usijali kamanda tuko pamojaAahh.. usijali kawaida kupotea na kuonekana..
Nkajua chkechea ndio maana![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.
P0a p0a mkuuUsijali kamanda tuko pamoja
Madame SUmeanza
Madame S
AiseeWayajua bana usinifanye mwehu
Madame S
Tupo diktetaMakomredi mpo?
Karibu shemeji, za jumapili na Familia yako kwa ujumlaWakuu habari za humu ndani naomba mnikaribishe