shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mkusi wa kusi niajeMornng Wazee
Mkusi wa kusi niajeMornng Wazee
Togwa la ngomani hilo..![]()
![]()
Wewe tu na ngata yako.. ukitaka unachota unakunywa, kikombe waweka kando, mwingine nae akija hvyo hvyoo..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.

Haijui 40 huyoo labda kwa mwanaume sio mwanamke40s masihara nin.. hebu ntokee mie.
Tycoon MAKAVELI Jr.
Ocean road hospital ndio mambo yote,Ewaaaaaaa shemela
Ukivuruge wake nn?!
Kwangu mimi PM sio ishu kama nina kitu siriazi huwa namfuata mtu mfano mtu kapatwa na tatizo kasema hapa basi namfuata kumfariji n.k
Ila kuwa na urafiki na mtu nje ya Jf ndio ishu maana sio rahisi mimi kumpa mtu # yangu hata awe demu tutachat PM na kama nimenogewa naweza kuonana nae lakini simpi # wala kupiga selfie kibpyaboya tu
![]()
![]()
![]()
.......

aiseeAnafanya masihara huyo40s masihara nin.. hebu ntokee mie.
Tycoon MAKAVELI Jr.
Mie nitampotezea tuuSio mara ya kwanza, kila siku, itabidi afungiwe shingoni awe anatembea nayo
SanaNaona hapo umefurahiii shemela
Ndio aligoma, kama asingegoma angepokea..Si uligoma kupokea au
mzimaMzima mie mkushi wewe je
Shunie kwa kujikweza, kumbe hata huyo wako wa moyoni umemuambia 30sSio 30+ tena
Migombani, kiwalani, maji machafu, haya majina wengi hawayajui yako wapiNa drive in sinema now pamejengwa ubalozi
Tuko freshWasalaaam...
Natumaini mko pouwa..