makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,866
- 104,053
Poa, utapata.. tafta siku uje kuyachukua.Mahela bana mengi mengi
Tycoon MAKAVELI Jr.
Poa, utapata.. tafta siku uje kuyachukua.Mahela bana mengi mengi
Fresh SakaYoJamaaaniii kwa herini
Pole joh..Yadhawahi kukufika !!
.
Haya bhana huku hakuna umeme hivyo ngoja niwaache maana kisimu changu kina betri feki kitazima muda sio mrefu
......
Hhmmm.. 40s, uringe, tungekuwa hatupumui humu..Hapana dada 40 plus jaman mbona unanishusha miaka yangu lakin
True..Hayajawahi kunifika ila hiyo ndio style yangu sihitaji mawasiliano ya pm jf unaepukana na vitu vingi sana
Shunie nae anataka kushindikana km husna..Hadi kwenye avatar...
Bwana wee.. muhenga kweli kweli..![]()
![]()
kabla hujawa muhenga
Tuko poa kabisaWasalaaam...
Natumaini mko pouwa..
MzimaMarhaba sakayo.. mzima dada!?
Tycoon MAKAVELI Jr.
Mke wa mtu, kwani wapi umewahi kuona mke wa chuma..kudanga maka me mke wa mtu ujue
Amefundwa anajitoa tuu ufahamuShunie nae anataka kushindikana km husna..
Pliz sakayo mfunde upya..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Ndoa unaona nyimbo ya taifa kila mtu anajua kuimba..kudanga maka me mke wa mtu ujue
Poa poa mkuuKama kawa Shululu
N vip
NDIOKwahiyo maka unanibishia mie mwenye miaka yangu
UmeonaeeNdio aligoma, kama asingegoma angepokea..
Simple logic.
Tycoon MAKAVELI Jr.