Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Tangawizi inakuhusuKho kho
Tangawizi inakuhusuKho kho
Au niletee soda yake ya baridiiiiTangawizi inakuhusu
Wewe halotel huipendi kabisanilijua tu halaf jana kumbe ulinipigia mchana ile simu nimeishika usiku nakuta missed call
Ahahha yaan hiyo kwa ajili ya sakayo ujue hamna mtu ninayewasiliana naye kwenye hiyo no zaidi ya dada tuWewe halotel huipendi kabisa
Hapo SafiHahaha
Mwenyewe siko comfortable na hii kabisaa... Bora ile yangu na T ujue
Shemela na wewe unaunga hoja me ni muhenga jamanItakuwa hivyo
Mr and Mrs T....Ndiwoooo lakini sasa ni bibi
Usijali mimi nakujua vizuriHata me na wewe shemela hatujawahi gombana ila usisikilize maneno ya watu
Hapana dada nakataaje uzee lakini si ndio nilipo sasa hivi ebu rudisha ile avatar nini lakiniiiMr and Mrs T....
Sasa hutaki uzee auuuu
Sio haipendi anajua kabisaa ndo nampataga humoo... Ananifanyia kusudi tuuWewe halotel huipendi kabisa
Wapii tenaHapo Safi
Ila namuona maka shemela anataka kutugombanisha ujueUsijali mimi nakujua vizuri
Kwenye honi ža daladalaNimezaliwa muhimbili mie ooooh
Teh teh teh... aaagg!! Husna umenikosha, enzi hizo tycoon ni tycoon kweli.. unarud mayenu hutoki hata jasho.. mie n mwanangu shululu..
Wakat huo morogoro road haina hata lami... siku zinaenda kweli..
Tycoon MAKAVELI Jr.
kabla hujawa muhengaIle Hapana Aiseeee... Unajua sijielewi eeehh... Saa nyingine najitafuta.... WoooiiiHapana dada nakataaje uzee lakini si ndio nilipo sasa hivi ebu rudisha ile avatar nini lakiniii
Ewaaaaaaa shemelaKwenye honi ža daladala
Hilo jambo poa zaid ndan ya ndoa..Niliwaona sana, unajua mimi na shemeji yako hatujawahi kugombana
Mornie mzee wa jani la kijaniMornng Wazee
Nani huyo?Oii.. mbona mornie mornie...
Umekojoa kitandani nin??
Umemsaidia bitoz nyangema..
Tycoon MAKAVELI Jr.