Makapuku Forum

Makapuku Forum

PM gani mkuu prime minister au post meridiem.. sina utaratibu wa kumuibukia mtu huko.. yote yanaishia hapa labda iwe ishu siriaz saana


Kama wapo humu humu sawa hamna tatzo.. mie nlijua hawamo kabsa.



Tycoon MAKAVELI Jr.
Kwangu mimi PM sio ishu kama nina kitu siriazi huwa namfuata mtu mfano mtu kapatwa na tatizo kasema hapa basi namfuata kumfariji n.k

Ila kuwa na urafiki na mtu nje ya Jf ndio ishu maana sio rahisi mimi kumpa mtu # yangu hata awe demu tutachat PM na kama nimenogewa naweza kuonana nae lakini simpi # wala kupiga selfie kibpyaboya tu

.......
 
Kwangu mimi PM sio ishu kama nina kitu siriazi huwa namfuata mtu mfano mtu kapatwa na tatizo kasema hapa badi namfuata kumfariji n.k
Ila kuwa na urafiki na mtu nje ya Jf ndio ishu maana sio rahisi mimi kumpa mtu # yangu haya awe demu tutachat PM na kama nimenogewa naweza kuonana nae lakini simpi # wala kupiga selfie

.......
Wamekusikia hao mademu msg sent
 
Shemej yako alikuwa anakuchimba swahiba.. yeye na yule mwenzie kizabizabina husna muba..

Wanasema wee hujaenda tanga, bila ya mimi ndoa yako leo asubuh ingekuwa tayar past tense

Tycoon MAKAVELI Jr.
Mimi kweliiii wa kumchimba shemela wangu maka usitake kunigombanisha na shemela wangu huyu mtu muhimu kwangu ujue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom