Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaHamna kubadili avatar
Mwenyewe siko comfortable na hii kabisaa... Bora ile yangu na T ujue
HahahaHamna kubadili avatar
Hata me na wewe shemela hatujawahi gombana ila usisikilize maneno ya watuNiliwaona sana, unajua mimi na shemeji yako hatujawahi kugombana
Kwangu mimi PM sio ishu kama nina kitu siriazi huwa namfuata mtu mfano mtu kapatwa na tatizo kasema hapa basi namfuata kumfariji n.k
Ila kuwa na urafiki na mtu nje ya Jf ndio ishu maana sio rahisi mimi kumpa mtu # yangu hata awe demu tutachat PM na kama nimenogewa naweza kuonana nae lakini simpi # wala kupiga selfie kibpyaboya tu
![]()
![]()
![]()
.......
Nimezaliwa muhimbili mie oooohToka huko.. we umekuja na gar la taa 1 nani asiyejua..![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.
Husna mmoja wapoWamekusikia hao mademu msg sent
Si uligoma kupokea aunilijua tu halaf jana kumbe ulinipigia mchana ile simu nimeishika usiku nakuta missed call
Haya kwahyo unataka sh ngapi!?Sio kwa buku jaman nimekuwa mtoto nataka kununua lolipop
Hapana aisee acha huko pm niwaachie waje wengine me na pm tofautiIla sijamlenga mtu
Mtu yoyote namkaribisha PM hata wewe
![]()
![]()
![]()
.......
Sio 30+ tenaMe ni muhenga ujue muulize sakayo nipo kwenye 40 plus
Sasa ww shunie una ukubwa gani, kaone vile kujitia utu uzima usio muhusu..Sio kwa buku jaman nimekuwa mtoto nataka kununua lolipop
Hahaha
Mwenyewe siko comfortable na hii kabisaa... Bora ile yangu na T ujue




si haujazoea mambo hayo nalifahamu hilo ujue dada ila kubadili sitaki uibadiliShkamoTeh teh teh...
Tycoon MAKAVELI Jr.
Hapana dada naachaje kupokea jaman simu yako nilikua nayo mbali nakuja kuishika ndio nakuta missed callSi uligoma kupokea au
Mahela bana mengi mengiHaya kwahyo unataka sh ngapi!?
Tycoon MAKAVELI Jr.
Yadhawahi kukufika !!Hapana aisee acha huko pm niwaachie waje wengine me na pm tofauti
Hapana dada 40 plus jaman mbona unanishusha miaka yangu lakinSio 30+ tena
Sasa ww shunie una ukubwa gani, kaone vile kujitia utu uzima usio muhusu..![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.
me ni mukubwa kibibiVip tena shemela wangu