Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aahh.. ndio maana, nikawa najiuliza mbona huyu binti mswahili mnoo. Upashukunu umemjA tele km pishi la mchele kumbe ni mbagala 1..[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Bas we jiran yangu... siku nikipita mbagala nikakabwa na kiu hata siingi gharama ya kununuA maji.. nakuja kwenu unanipa jagi najipigia, na ya ziada nabeba[emoji23] [emoji23]

Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
 
Back
Top Bottom