Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Mimi je shemela [emoji85]Hapo Safi
Mimi je shemela [emoji85]Hapo Safi
Umeona eheeSio 30+ tena
Hhmm.. sidhan km atakuja, kwan shunje nae ni thuupuu..[emoji23] [emoji100] [emoji125]Ila sijamlenga mtu
Mtu yoyote namkaribisha PM hata wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
NdiooUmeona ehee
[emoji106]
Ndio ashaibadili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si haujazoea mambo hayo nalifahamu hilo ujue dada ila kubadili sitaki uibadili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana eti unajitafuta ujue we ni chizi dada yale mambo tumejizoelea wenyewe ujue na kina maseratiIle Hapana Aiseeee... Unajua sijielewi eeehh... Saa nyingine najitafuta.... Woooiii
Duh.. mchana mpaka usiku, ulikuwa unadanga nin ndugu yangu..[emoji85] [emoji85] [emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu halaf jana kumbe ulinipigia mchana ile simu nimeishika usiku nakuta missed call
Kavae sweaterMimi je shemela [emoji85]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hapana dada 40 plus jaman mbona unanishusha miaka yangu lakin
Msinishushe mikaa jaman shemela me ni 40 plus hukoUmeona ehee
40s masihara nin.. hebu ntokee mie.Me ni muhenga ujue muulize sakayo nipo kwenye 40 plus
Hatari sana aiseeHadi kwenye avatar...
Naona hapo umefurahiii shemelaNdio ashaibadili
Mtu muhimu kwa vibomu..Mimi kweliiii wa kumchimba shemela wangu maka usitake kunigombanisha na shemela wangu huyu mtu muhimu kwangu ujue
[emoji15] kudanga maka me mke wa mtu ujueDuh.. mchana mpaka usiku, ulikuwa unadanga nin ndugu yangu..[emoji85] [emoji85] [emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kavae sweater
Una wajukuu wangapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf vibibi tumejaa jaman hizi avatar zinatuficha mengi sana
[emoji87] [emoji87] [emoji87]Mtu muhimu kwa vibomu..
Au muhimu kwa kufanyia practical zile theory za upashukuna unazojifunza kwa husna..[emoji23] [emoji23]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Hata.. nambunjumbwale huko kuna muhimbili pia..[emoji23] [emoji23]Nimezaliwa muhimbili mie ooooh