Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Endeleeni bhanaJamaniwe mgomvi muone, daily niko alone humu hizo mbwembwe tunazifanyia wapi??
Madame S
Nazingua tu
.....
Endeleeni bhanaJamaniwe mgomvi muone, daily niko alone humu hizo mbwembwe tunazifanyia wapi??
Madame S
Najua fika unazingua, sisi wala hatuendelei tutaendelea kwengine sio humEndeleeni bhana
Nazingua tu
.....
Nilighair nikazima data nikaenda kuzurura sehem bavaria zangu 4 saafi, nmekuja kulala karbua na asubuh hvBado uko macho
Umeona sasa mie sijakwambia unipende, mie ndio nakuzimikia thats y nakutongoza, ungenipenda wewe si ungekuwa unanitongoza ww bhana..

Kwann jombaa..Hii game naweza ikosa aisee
Hahaa.. malaya mwenzangu.......malaya nani sasa maana unanichanganya, ni wewe, yeye au wote. Maana washika dini tunajuana na wezi wanajuana pia

Nilipojua mkee wa swahiba wangu... ikabadilika ghafla toka kuwa dede na ngumu mpingo ikawa km plastic iliyopigwa moto..
Leo katika Historia
1960 - Ni siku ya Uhuru wa Chad.
Morning missMorning
Asante! Na iwe njema kwako piaHabari za asubuhi
Nafikiri mmeaka salama na mpo kwenye majukumu ya kumalizia wiki
Niwatakie Ijumaa Nema
.....
Ila sometimes alikuwa anachomekea maneno yake tu ili kunogesha picha hilo nimelijua baada ya kuwa mkubwaHa ahhahahaha, Lufufu anaongea lugha zote kihindi, kijepu, kichaina , kibangla ili mradi tu utampenda
Paka chongo akikutana na samaki kirungumpweke yaani utamu kama chapati na karanga

.....utasema kavaa pampasi
Jamani me napita nimesikia niwasalimie, endeleeni na yenu na mimi napambana na hali yangu

Teh teh teh... unajikinga mapema kwa shunieWakuuu kumekucha swalamaaaaaa. ..
Leo sitoweza kuweka vitu muhimu mapema. ..tukutane baadae
Nisipoonekana sio kwamba nimetekwa
Morng boi.. inakuwajeMorning
HeheheheHili swali nimelichoka Jimena ...na sijui kwa nini watu wanafikiria negative... Kuna watu wanajiita muosha rungu mwengine nanaanto........nashindwa Kumalizia. Hivi hawa wanaulizwa.... Nikiulizwa na mtu mwingine ntatoa sadaka likes zangu nafungua Id mpya.
.. Sijakasirika lakini Jimena kuwa na amani full.