Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna malaya ananizingua kanipigia simu nmemwambia nampenda nae kanijibu nakupenda pia.. mie nmemwambia wee muongo hunipend akauliza kwann nimemwambia km unanipenda kwanin hukuntongoza nmekutongoza mimi.. mimi ndio nakupenda, kakata simu, mie sipendagi mambo ya ajabu ajabu shabashi..


.....malaya nani sasa maana unanichanganya, ni wewe, yeye au wote. Maana washika dini tunajuana na wezi wanajuana pia
 
4ZenZ9T.gif
Duh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom