Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
AiseeLeo katika Historia
2012 - Watu takribani 300 wanapoteza uhai mara baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi huko Tabriz, nchini Iran.
Hivi toka uanze kutumia Id hii umeshang'oa wangapi hadi sasa??Ha ha ha ha ha ha... Mbona unajihami mzee wa totoz aaah sorry Rafiki kipenz.
HBD parvezLeo katika Historia
1943 - Jenerali Parvez Musharraf anazaliwa.
Ni Jenerali na Rais wa 10 wa nchi ya Pakistan.
Poa kabisa!Nzuri ankali, za kwako
Niko poa kabisa Madame s
Njiwa bundi Wa kigangaaAnafuga njiwa![]()
![]()
Ni kweli, hata yeye kaona ndio maana akajaEeeh si kweli eeh???wanahisi labda nikk single humu
Madame S
Tubadilishane mbegu?
Hapana aisee mimi nipo tayari nikupe mbegu zangu bure
Punguza uzwazwa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.......

Asante ankali JJ kwa historiaKwa hisani ya Chia seeds leo katika historia haina la ziada...
Niite Jimena Jimenes
T G I F![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Weka order yako sasa!!
DuuKidonyo tu thio thana, wee Nidhoee tuu betht.![]()
![]()
Hongera Wii kwa kufanikiwa kutupia post ya 260kUsiwe unapotea sana love, maana nanusurika kupigishwa sound
Madame S
Na mie ndio mana namsisitiza asipotee sana mana ishakua tabuNi kweli, hata yeye kaona ndio maana akaja
Sijui nitumie lugha rahisi uelewe haraka, well, ngoja nitumie lugha ya picha. Ukijishika kiunoni na ukaoni ni peupe tu kama kiwanja cha shule yaani hakina nakshinakshi kama shanga na nyuzi basi ndo ujue kinu hakijanakishiwa. Yaani hata hina tu hakuna

Hongera Wii kwa kufanikiwa kutupia post ya 260k

asante wii tupo pamoja hope uko poa