Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sikia bibie we sote watu wazima, haina haja ya kuuzunguruka mbuyu na maneno ya kihengo, cz hata nitumie misamiati gani dhumuni ni lile lile..

umeona mjumba wote huu, nmechoka kulala km mlingoti, daily nakuona unapita hapa, leo nmeona nivunje ukimya.. kila ukipita mie hoi, hicho kijungu, kasura kako kazur kalikopambwa na macho lain, pua ya kikabacholi na huto tulipsi twako, navurugwa kabisa bibie..
[emoji85][emoji85][emoji85] mie mke wa mtu jamani

Madame S
 
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ninacheka mimi jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una maneno sana, nakusikiliza mkuu ongea tu nilale mie

Madame S
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] Kama una usingiz kalale ndugu yangu.. hapa natafuta wa kupoteza nae muda sina usingiz hat chembe, ndio kama kumekucha vile
 
Back
Top Bottom