Hili swali nimelichoka Jimena ...na sijui kwa nini watu wanafikiria negative... Kuna watu wanajiita muosha rungu mwengine nanaanto........nashindwa Kumalizia. Hivi hawa wanaulizwa.... Nikiulizwa na mtu mwingine ntatoa sadaka likes zangu nafungua Id mpya.Hivi toka uanze kutumia Id hii umeshang'oa wangapi hadi sasa??
Sawa kabisa anko ake! Siku hazilingani!Wakuuu kumekucha swalamaaaaaa. ..
Leo sitoweza kuweka vitu muhimu mapema. ..tukutane baadae
Nisipoonekana sio kwamba nimetekwa
Hakuna kwenda![]()
Amuulize mwenzie bitoz ananijua vizur, napiga naparua mpaka vinyweleo..
duuu urongoooAcha wivuNyie maigizo yenuhayaishi?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
......
Mna mbwembwe aisee kuwazidi wengineAcha wivu
JamaniMna mbwembwe aisee kuwazidi wengine
Haya bhana
![]()
![]()
![]()
......


we mgomvi muone, daily niko alone humu hizo mbwembwe tunazifanyia wapi?? Mjuwe mnanikumbusha mbali enzi zileee za video show kiingilio 50 no staffKama frank zagarino..
Aisee...!!Teh teh teh.. unakula miuno ya paka chongo..![]()
![]()
![]()
![]()
Mtongozo unaanzaga HV HVWataka nifike hadi wapi sasa kusogea hukuongea tu mbona nakusikia bila mikwaruzano
Madame S
Siusogee hata hapa karibu, tunaongeaje sasa wewe uko makkah mie madina...
Ya nin kuongea mbali mbali tunatupiana maneno kama vibirit ngoma wanagombea bwana.. sogea hapa uketi tafadhali madame
Mazungumzo gani had tuwe so close hivo??
Madame S
Jamanininacheka mimi jamani
una maneno sana, nakusikiliza mkuu ongea tu nilale mie
Madame S
Leo katika Historia
1952 - Hussein Bin Talal anakabidhiwa rasmi Ufalme wa Jordan.
Mtongozo Wa kianalogia huuSikia bibie we sote watu wazima, haina haja ya kuuzunguruka mbuyu na maneno ya kihengo, cz hata nitumie misamiati gani dhumuni ni lile lile..
umeona mjumba wote huu, nmechoka kulala km mlingoti, daily nakuona unapita hapa, leo nmeona nivunje ukimya.. kila ukipita mie hoi, hicho kijungu, kasura kako kazur kalikopambwa na macho lain, pua ya kikabacholi na huto tulipsi twako, navurugwa kabisa bibie..
mie mke wa mtu jamani
Madame S
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kama una usingiz kalale ndugu yangu.. hapa natafuta wa kupoteza nae muda sina usingiz hat chembe, ndio kama kumekucha vile