Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Tupia kapicha ankaliMimi ninazo 100g kwa 10,000 dia
Karibu sana
Tupia kapicha ankaliMimi ninazo 100g kwa 10,000 dia
Karibu sana
Bahati mbaya sana sio mpenziBaada ya siku ya bia duniani..
TBL washusha bei ya ndovu..
![]()
Tuko pamoja mkuu1/Jesus of Nazareth![]()
![]()
![]()
Aliishi kati ya mwaka 5BC hadi 28 AD Ila wafuasi wake bado wanaamini yupo hai mbinguni sasa sijui kama keshazeeka au lah
Alizaliwa na Bikira Maria kwa uwezo wa Roho Mtakatifu {kama wewe unahisi alizaliwa kama wewe ilivyotokea kwa wazazi wako mimi sijasema hivyo)
Pamoja na kuishi bila shari na mtu akasalitiwa na bwana Yuda Eskariote na wenzake wachache kisha Pilato akavuta mlungula na kutoa hukumu ya kidwanzi halafu akasulubiwa akafa kisha akapaa mbinguni
Hivyo ukisalitiwa na rafiki/ndugu/mpenzi wako usiwaze sana kumbuka hata Yesu yalimkuta pamoja na kufanya mazuri kwa 100%
Ameandikwa kwenye vitabu visivyo na idadi
Anatafutwa X 25,000,000 na ushee kwa mwezi
.
.
.
.
.
.
.
Samahani kwa niliowakwaza kwa mada ya leo najua nimekorofisha imani za wstu maana ilikuwa hakuna namna
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
Mwisho
........
Anauza yeyeInapatikana wp?
Ee Mungu wa sifa zangu usinyamaze
Kwa maana wamenifumbulia kinywa, kinywa cha mtu asiye haki, cha hila wamesema nami kwa ulimi wa uongo
Naam kwa maneno ya chuki wamenizunguka, wamepigana nami bure![]()
ZABURI 109:1-3
Muwe na usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu![]()

I will try
Na kwako piaUsiku mwema wakuu
HakikaKiumbe pekee ambaye tunaelezwa hakuzaliwa kupitia mbegu za mwanaume
Hakika Mungu ni muweza wa yote
Baadhi ya maandiko husema
Alifanya miujiza mingi sana na ya kushangaza ambayo haijapata kufanywa na yeyote toka dunia iumbwe
Muziki: Usiku wa Manane
Sijui kama ni sahihi kuanza kusalimia muda huu, maana utaianzaje salamu sasa wakati hata mwenyewe baada ya nukta tu nitalala. Well, nikutakie usiku mwema. Unajua nafasi yako hapa jukwaani haiwezi kulinganishwa na chochote. KF ni sehemu nzuri kwa kuwa wewe ni sehemu yake.
Utakuwa umenote kitu, mahudhurio yangu wiki jana na hii yamekuwa down sana, ni kwa sababu , kama ni mpira basi timu yangu inashambuliwa na refa kapoteza kipyenga linesmen virungu vimeloa kwa hiyo inabidi hadi kipa akabe.
Kifupi nimetingwa na nikamuomba shululu aweke muziki au member yeyote ambaye ataweka kwenye mida segment ya muziki inapoanza baada ya 10 kubwa. Shululu umekuwa kimya hebu mawasiliano yako. Niwashukuru lee empire mjomba wangu huyu, Jimena kwa historia, Nyagei kwa sports, Shunie kwa neno na sala, husna muba kwa hadithi na maarifa kwa ufupi bila kumsahau Bitoz
Ninyi watu Tumosa ninakuangalia tu, maana kutokuwemo humu sio kwamba sisome fitna zote, ha ahahhaah, dumejeuri asante kwa kulichangamsha jukwaa, mzeewakungoa asante mdau, makaveli10 , Madame S , BlessedHope , Transcend , Mondray , dingimtoto , demi , Curious gal na wewe ambaye sijakutaja maana usiku umeenda, ni jambo zuri kuwa hapa