THE DOM
Sehemu Ya 14
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Instagram....
Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←
SON OF PRESIDENT GU
"nini mwaju"
"najua sote ni makamanda, lakini hisia hazina ukamanda...."
Mwaju aliongea kimafumbo, na sahi alimwelewa vizuri sana...
"kwahio"
Mwaju hakujibu kitu,.... Kumbe mwaju alimpenda sahi toka muda mrefu sana sema alikuwa anatafuta njia ya kufanya, hivyo hata kile kitendo cha kupewa nafasi ya kuja usiku kwa sahi, alikifurahia sana mana ni moja ya nafasi nzuri kwake,.
Mwaju alianza kumshika sahi, na sahi nae ni mtoto wa kiume hivyo vitu kama hivyo kwake, ni kawaida tu na uzuri anajua kuwa dom keshaipata hivyo haoni sababu ya kuto kuinjoi na wanawake,... Sahi alijibu mapigo ya mwaju,... Dakika 5 mbele mwaju alikuwa mtupu, yaani kajiachia kwa sahi, ila wakati huo sahi ndio anamalizia boxer yake.... Mara ghafla mwaju katoa jicho, tena likiwa limeambatana na mshangao... Kana kwamba kuna kitu kaona katika mwili wa sahi...
"sheby....."
Aliita mwaka aju, ila hilo ni jina la mtu mwingine lakini kamuita sahi,..
"una nini wewe... jina gani unaniita hilo"
"siamini kama kweli ni wewe.... "
"ati nini???"
Sasa mwaju kuna kitu kaona..... Sasa mwaju anakumbuka miaka mitatu iliyopita akiwa na sheby kitandani....
ENDELEA.........
Kuna viashiria vingi sana vinavyofanya kijana huyu kufananishwa na mtoto wa General ambae alifariki hapa hapa jeshini kutokana na uzembe wa waandaaji wa mazoezi, waliokusanya mabomu ya mazoezi huku wakikusanya na yale ya ukweli, hivyo katika hali ya mazoezi kijana huyo alipoteza maisha papo hapo kambini,... Lakini kijana huyo alikuwa na mpenzi aitwae mwajuma, na kwakuwa alikuwa mtoto wa General hivyo hata alipokutwa na mwanamke ndani ya kambi alikuwa haulizwi chochote mana baba yake ni General, hivyo akiwa kambini alikuwa na mpenzi mpenzi wake tena walikuwa wakishiriki kama kawaida,..... Sasa hapa mwaju anakumbuka siku ya kwanza wanafanya mapenzi na sheby ambae ndio mtoto wa General,
Wakati sheby akiwa kalala chali huku mwaju akiimba nyimbo isiojulikana, au kama huelewi basi wacha tuseme alikuwa akinyonya lolpop, wakati huo sheby ananiskia raha sana, lakini katika ufundi wa mwaju kuisololola solola huku na huku kuigeuza geuza, alikutana na alama iliopo pembezoni mwa uume wa sheby, lilikuwa ni kovu tu, ila kidonda shapona,... Na ni alama kubwa tu iliomtisha sana mwajuma
"baby, hii alama hapa uliipataje"
Alimuuliza mpenzi wake kuhusiana na alama hio,..
"aahh dokta alio nitahilisha alikuwa mzembe kiasi fulani.. Hivyo akasababusha baadhi ya vifaa vyake kudondokea hapo wakati natahiliwa"
"jamaniiiiii huyu dokta, sasa angekuumiza je?... Yaani dokta wengine jamanj sijui wapoje"
"sasa unasema kama angeniumiza je? Na wakati alishaniumiza.. "
" pole sheby wangu... Yaani hata nikipagusa nahisi unaumia eti eee"
"amana bwana ni kovu tu ilo"
"au baby umeng'atwa na mwanamke alivyokuwa akiinyonya"
"wala mi sikuwahi kuwa na demu kabla ya kuja kambini"
"ukweli??"
"ndio, tena sana tu"
"kwahio unataka kuniambia mimi ndio nimekubikiri jamani sheby"
"sasa je"
"eee mungu Ahsante... Kiukweli siamini kama nami leo nimetoa mtu bikra"
"umeona eee... Mi mpya wewe, yaani ndio kwanza unaanza"
Mwaju alimaliza kukumbuka miaka mitatu iliopita tena akiwa papo hapo kambini ila ni chumba kingine kabisa..
Sasa mwaju haamini kama ile alama hata huyu kijana anayo na ipo vile vile,
"niambie ukweli, wewe ni sheby wangu, Please naomba uniambie ukweli"
Aliongea mwaju huku akitamani kuambiwa ukweli kuwa huyu ni nani mana vingi sana vinaashiria kuwa yeye kasoro sura tu ndio inayowasumbua watu,...
"ivi ninyi, kila siku ni kunifananisha tuu kwanini"
"hapana... Leo hata useme nini, lakini wewe ni sheby ambae nakufahamu tena ni mpenzi wangu... Yaani kataa kubali wewe ni sheby"
"bwana wewe kama ni hivyo toka zako sawa... Sijakuita hapa sawa, nyanyuka na ukwende"
Aliongea sahi, tena kwa hasira ya hali ya juu mno,
"kwahio kukufananisha ndio imekuwa tabu jamani sahi"
Mwaju alikuwa mpole baada ya kuona sahi kawa mkali zidi yake,..
"naona mnanilazimisha kuwa kama huyo mtu wenu"
"basi jamani.. Nisamehe"
Mwaju aliona ni bora awe mpole mana kapewa kazi ya upelelezi ya kumpeleleza mpelelezi makini,.. Sahi aliachana na swala hilo kisha wakaingia katuka mapenz mazito, mwaju alikuwa ni mschana mzuri sana na hatujui ni kwanini aliamua kujiunga na jeshi la polisi,...
"sahi, nakupenda, nqtamani uje kuwa mme wangu"
"kumbe?"
"ndio,.. "
Wakati waki yaongea hayo mwaju yupo juu ya kifua cha sahi na wote walikuwa kama walivyozaliwa,...
"mmmmhh mwaju huna hata jani la dawa"
Aliongea sahi baada ya kuona uwanja wa mwaju umeng'aa, mweupeee,..
"kwanini ukute majani sasa.... "
"mwaju una mmmhh ndogo ee"
" Kiukweli toka mpenzi wangu shwby afariki dunia, mpaka leo sijui mwanaume yan"
"pole sana mamy"
Mambo yalizidi kunoga raha juu kwa juu utamu juu ya utamu, mpaka sahi kasahau kufanya kazi,.. Mana alikuwa na kazi ya kuangalia General anakwenda wapi na anamuuzia nani hio dom,... Alibonyeza katika kompyuta yake ikatokea skrini iliokuwa ikionyesha bado wapo katika gari, swala hili mwaju aliliona, na alijua kabisa hilo gari ni la General, mana mbele ya dashboard kulikuwa na kofia ya General hivyo mwaju aliiona kofia ile, na hapo ndipo alipojua kuwa General kawekewa kamera katika kibanio cha tai...
"hio ni nini"
Mwaju alijifanya kuuliza lakini sahi hakumjibu kitu, badala yake akamgeuza mtoto wa kike kisha akamueka sawa,... Maskini mwaju kweli ana muda hajui manaume, kwani sahi alikuwa akiilazimisha sana zakaria yake,... Mwaju alikuwa akijiskia utamu wa hali ya juu
Masaa manne baadae, kila mtu akiwa hoi, mwaju akiwa juu ya mgongo wa sahi huku usingizi ukimjia taratibu, wakati huo sasa kwenye kamera inamuonyesha General anapeana mkono na mzungu mmoja hivi,.. Na mwaju pia alikuwa anaona sema alikuwa kama anasinzia hivi, na wakati huo mwaju hakuwa hata na nguo...
"baby, nivalishe nguo nilale"
Aliongea mwaju, na wakati huo hata yeye anaona kila kitu katika skrini,.. Sahi anayajua mapenzi, alinyanyuka na kuchunkuwa nguo ya ndani kisha akamvalisha huku wakitekenyana kwa furaha,...
Sahi alipoona dom inakabidhiwa kwa mzungu, ikabidi atulie kwanza
"baby, najua huyo mi General... Kwanini huniambii"
"usijali utajua tu"
Mapenzi yanakuja kuharibu kazi, mana swala la upelelezi ni jambo la siri lakini ukiwa na mpenzi unaharibu kazi yako kama usipokuwa makini...
"sawa baby... Basi mi nalala naskia usingizi"
"ok poa"
Mwaju baada ya kuvishwa nguo ya ndani na sahi, aliona bora alale, na wakati huo wanafunzi wapo katika vyumba vyao, tena kulikuwa na kamvua kwa mbaali sana...
Sasa mwaju kapata jambo la kuongea kwa General, mana nae kapewa kazi ya kumpeleleza sahi, japo ni mtu ambae yupo katika kundi lake lakini bado hamuamini,...
"huyu mtu atakuwa ni mpelelezi huyu, mbona anamrekodi general"
Mwaju alijiuliza kimoyomoyo huku akivuta usingizi wake....
Huku TSS Joseph akiwa katika shughuli zake za kwaida pale ofisini kwake, ukumbuke Joseph nae ni General katika kitengo cha TSS, na ni kitengo alichopewa na baba yake mzee GU,.. Lakini pia ana mkuu wake, ambae ndio generally mkuuu kuliko yeye,.. Yaani Joseph yupo chini ya General mkuu, ila sio yule General wa majeshi,... Au Tunaweza kuwaita afisa mkuu wa TSS,
"yes mr nyange"
Aliongea Joseph wakati akiongwa na simu ya General Nyange,
"nipo mpakani mwa kenya hapa nachukuwa bilioni 500"
"sawa...ni vizuri zaidi, na yule kijana unae"
"hapana... Unajua kuna siku alizuia silaha na aliwaua wale wateja,... Sasa kikundi chao kikawa kinataka silaha zao na watu wao... Yule kijana alikuwa hataki, sasa kama unavyojua mimi sitaki nchi ijue mambo yangu,.. Jana nimezitoa silaha walizotaka wale watu ili mzozo uishe mana sikuhitaji mapigano"
"lakini kwanini umemuamini kwa haraka katika kazi zetu"
"hapana, sio kuwa nimemuamini kwa haraka, bali aliigundua bishara tuliokuwa tunaifanya, hivyo tukaona bora tuwe nae ili apige kimya"
"sasa kajuaje kama wewe ni muuza silaha"
"kuna siku tulikuwa porini tunapakia... Kumbe alitoroka bwenini na kuja porini hapo ndipo alipojua"
"basi huyo atakuwa sio mtu mzuri... Afu sijakuambia kitu, huyu kijana ana mjengo wa kifahari... Ana magari mawili ya kiserikali"
"ati nini"
"nyumba yake ni ya kifahari yaani sijapata kuona, nami nilijiuliza huyu ni mwanafunzi gani huyu ana maisha makubwa kiasi hiki"
"lakini JJ, huyo si mtoto wa mtumishi wa BOT, sasa atashindwaje kuwa na vitu kama hivyo"
"ni sawa, lakini yapaswa kumjua zaidi"
"ebu chukuwa kikosi chako fatilia hio nyumba"
"sawa mkuu"
Joseph ni msaliti wa nchi na tulishamjua muda mrefu sana
Mpakani mwa Kenya General akiwa ndio anaipokea pesa taslimu shilingi bilioni 500, zikiwa katika begi kubwa la kuwekea nguo,... Na yote hayo sahi alikuwa akiyaona live bila chenga,...
Sasa huku Ikulu kwa rais,.. Anashangaa sikrini yake yenye kamera katika nyumba ya sahi, inaonyesha,... Lakini alipoangalia vizuri alishangaa kumwona mtoto wake ndio kiongozi wa wapelelezi... Mana raisi anakijua hiki kitengo, ni kitengo maalumu cha siri sana, sasa leo mtoto wake anavamia katika nyumba ya kijana aliompa kazi ya kutafuta dom,... Na rais hataki mtoto wake ajue kama anamtumia sahi kama mpelelezi mkuu nchini, na wakati huo sahi yupo kambini.... Joseph ni mpelelezi aliosomea nchini hivyo ana utaalamu wa hali ya juu,... Kwanza alishangaa kuona jumba hilo kuzungukwa na kamera kila kona, Joseph alichukuwa laptop yake kisha akachukuwa number ya kamera moja wapo, ili azime, lakini alishangaa hazizimiki hata moja...
Sasa GU anatamani kumpigia simu mtoto wake kuwa atoke katika nyumba hio, lakini sasa hatakiwi kujua kama rais na sahi wana ukaribu mzuri sana.... Mzee GU hakutaka nyumba hio isachiwe....
Ghafla simu ya Joseph inaita, kuangalia jina liliseviwa BABA... Maana yake ni rais ndie aliekuwa akimoigia, na wakati huo wanafanya mbinu za kufungua mlango....
"hello mr President"
Joseph alikuwa na utani sana na baba yake, pale wanapoongea kwa simu,...
"unaweza ukaniambia ruksa ya kuingia hapo ulipewa na nani"
Joseph alishtuka kuskia hivyo, tena alitoa macho huku akijua kuwa tayari keshakuwa JIPU.....
Je? Nini Kitaendelea???? USIKOSE
ITAENDELEA.....