Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Nimeuona jamaan [emoji120]17 Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.
Zaburi 118 :17
Nimeuona jamaan [emoji120]17 Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.
Zaburi 118 :17
Kazi kweli kweliVibonge kwa vibonge [emoji4][emoji4]
Amen mtumishi[emoji524] Ee Mungu wa sifa zangu usinyamaze
Kwa maana wamenifumbulia kinywa, kinywa cha mtu asiye haki, cha hila wamesema nami kwa ulimi wa uongo
Naam kwa maneno ya chuki wamenizunguka, wamepigana nami bure [emoji524]
ZABURI 109:1-3
Muwe na usiku mwema mlindwe na damu ya Yesu [emoji120]
Ulivoiquote ndo nmeiona c unajua tena mambo ya kuskipItafutee hata mi nimeionaa
Nmekumic pia baba wawili wngu jamaniNiambie my love, Nimekumiss sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3]dumejeuri jaman mbona 108 hamna mstari wa 17 mwisho ni mstari wa 13 ila Asante jaman ubarikiwe
Inakuwa raha utamu shemelaKazi kweli kweli
[emoji23][emoji23][emoji23] akija hapa useme wakina jj ndio wamechezea simuMe ntakucndkiza kwa mjumbe mke mweee
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ulivoiquote ndo nmeiona c unajua tena mambo ya kuskip