Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
TUKIO HALISI LA WIZI LILILO ISHANGAZA DUNIA
sehemu ya 02:
Basi baada ya bint kufanya mawasiliano na marubani ambao nao waliwasiliana na makao makuu ya uwanja wa ndege kule ndege ilikotakiwa kutua na ilikotoka.
Walikubaliana wamsikilize anachokitaka asije kuua watu bure.
Basi alidai ili asilipue ndege basi apewe fedha halali za kimarekani dola 200,000( msemo huu fedha halali utakuja kuona maana yake huko mbele ya stori)
Pia aliamuru apewe parashuti NNE na ndege itakapofika ktk uanja wa settle kue na gari ya kujaza mafuta ktk ndege ile na impeleke sehemu atakayoitaka.
Muhudumu alieahakikishia ni kweli bwana kopa anabom na kuwatajia vyote alivyoviona. Baada ya kupata orodha ya demand's za bwana Cooper basi mawasiliano na vyombo vya usalama yakafanyika haraka.
Wamiliki Wa ndege na vyombo vya ulinzi vilikubaliana jamaa apewe hizo pesa ili kunusuru maisha ya abilia 42 waliokuwemo ndani ya ndege. Kubwa zaidi ni injinia wa ndege na marubani wale wawili.
Basi walikubaliana kumpa hizo pesa ila walipanga kumfatilia kila hatua ikiwezekana wamdungue kabla hajafika chini. Kwakua aliagiza parashuti basi wakajua akiruka tuu wanae.
Hivyo basi wahudumu wote waliopo kwnye ndege waliamliwa wampe ushirikiano bwana cooper asishtuke na kuepusha hatari yoyote. Walimuomba awape mda kidogo ili wamkusanyie vitu alivyovitaka.
Basi muhudumu alimfata bwana kopa na kumkuta ameshavaa miwani myeusi na amerelax kabisa bila presha maana mbinu zote walizokua wakipanga yeye alishazisoma darasani.
Inaonekana kabla hajapanga kuiteka ndege alishasoma kwnz mazingira na kila kitakachopangwa na vyombo vya usalama. kifupi hakukurupuka na alipopewa jibu Kua asiwe na wasiwasi mikwanja yake anayoitaka inaandaliwa aliitikia kw kichwa na kisha akawasha sigara nyingine kw raha zake.
Aliagiza pia na maji ya kunywa na kwamshangao chenji iliyorudi alimpa yule muhudumu aliekua akimuhudumia.
Muda wote huo abilia wengine wote walikua hawajui nn kinaendelea na ili wasishtuke maana safari ya nusu SAA ilikua imezidi umbali ikabidi watangaziwe kuna tatizo la kiufundi kwnye kutua itabidi wakaekae angani tatizo litatuliwe kwnz.
Ndege ilikaa angani Massa 2 ikiwa inazunguka zunguka tuu ili kusubiria kule chini vitu vya cooper viandaliwe ndipo itue.
Ndani ya Masaa 2 FBI walifanikiwa kukusanya dola 200,000 kutoka bank, pesa zote walizipiga picha na kuchukua serio namba za kila pesa ili akifanikiwa kuzipata basi akamatwe atakapozitumia.
Hakua boya na yeye hayo yote aliyajua ndomana nakwambia alitumia akili nyingi nguvu kisoda watafurahi tuu. Basi bwana wakafanikiwa kupata na parashuti NNE km alivyoagiza bwana cooper.
Walizichukua kutoka ktk jeshi la nga na Tacoma kilichopo karibu na uwanja Wa ndege Wa settle. Baada ya kumaliza kufanya hayo yote mnamo majira ya 11:24 wakawasiliana na ndege hiyo iliyokua bàdo inawayawaya juu, walimwambia bwana cooper vitu vyake vipo tyr,
Walipompa orodha akadai hataki parashuti za jeshi anataka za kawaida za kiraia. FBI wakafanikiwa kuzipata kutoka katika kituo cha kujifunza watu kuruka cha skydiving.
MTU mmoja huyo anaijambisha serikali, robo saa baadae saa 11:39 ndege ilitua ktk uanja wa settle na cooper akaamuru rubani asimamishe ndege sehemu pweke na yenye mwanga wa kutosha. Hakua mbumbumbu akijua wanaweza kutumwa sniper wamtungue ndomana alitaka ndege isimame eneo lenye uazi mpana na kue na mwanga Wa kutosha.
Pia aliamuru rubani azime taa zote ndani ya ndege lengo kuepusha wadunguaji wasifanye ujanjaujanja maana snepeee Wa FBI wangeweza kufanya yao.
Baada ya ndege kusimama mtumishi mmoja wa kampuni ya Northwest Orient Airline's aliejulikana kama AL LEE akiwa amevalia kiraia kuepuka kumchanganya bwana cooper asidhani ni askari akiwa amevalia sare za uwanja wa ndege alikabidhiwa mabegi yenye ule mkwanja alioutaka bwana cooper pamoja na zile parashuti.
Al Lee aliisogelea ndege na bwana cooper aliamuru muhudumu mwingine ndani ya ndege alieitwa Bi mucklow afungue mlango Mdogo wa dharula na kupokea mabegi hayo.
Na mucklow akatii, Baada ya bwana cooper kuhakikisha Kua fedha na kila kitu alichohitaji viko sawa akaruhusu abilia wote washuke akabaki na marubani wote wawili, yule bint macklow na pamoja na fundi Wa ndege yule injinia.
Baada ya hapo aliamuru gari la kujaza mafuta lije lijaze ndege mpaka atakaposema inatosha, ikawa hivyo na akawapa mwongozo Wa safari anapotaka kwenda na speedi anayotaka ndege ikipaa iende na umbali kutoka aridhini kwenda juu anaotaka ndege ipae ili hata ikidunguliwa sirasi zisifike.
Kwanza akawataka ndege ielekee Mexico city na ndege iende speed ya km 190/hour na ndege iruke umbali wa futi 10, 000 kutoka ardhini. Pia aliwambia waondoe mgandamizo ndani ya ndege (cabin pressure) na wakiruka waache matairi bila kuyakunja kana kwamba ndege inataka kutua.
Pia mlango Wa nyuma Wa ndege uwe wazi km mizigo inapakiwa na mabawa ya ndege ya pembeni yawekwe kwnye nyuzi 15. Hiyo ilionesha bwana cooper sio mwizi mwizi Wa uswahilini. Msomi Wa hali ya juu na anajua anachokifanya.
Ilionesha kabla ya tukio alishafanya risechi na kuijua ndege nzima hadi uvunguni. Hapo akaamuru sasa ndege iruke.....
Je FBI watakubali mikwanja isepe?.
kwakua bwana cooper anajua Kua pesa alizopewa tyr serious namba polisi wanazo atawachezea gemu gani kutumia pesa zile andapo atafika salama?. ......tulia uone alivyokua na akili za ajabu na anakumbukwa mpaka kesho.
ITAENDELEA .