Makapuku Forum

Makapuku Forum

1/Jesus of Nazareth
d9d86d3ed6278d2a11070d1b0969b3a9.jpg
38a9dc4e18ee78686fd323669b3e09b1.jpg
c482c60eb9f0cfab52596f0fcb22b990.jpg

Aliishi kati ya mwaka 5BC hadi 28 AD Ila wafuasi wake bado wanaamini yupo hai mbinguni sasa sijui kama keshazeeka au lah
Alizaliwa na Bikira Maria kwa uwezo wa Roho Mtakatifu {kama wewe unahisi alizaliwa kama wewe ilivyotokea kwa wazazi wako mimi sijasema hivyo)
Pamoja na kuishi bila shari na mtu akasalitiwa na bwana Yuda Eskariote na wenzake wachache kisha Pilato akavuta mlungula na kutoa hukumu ya kidwanzi halafu akasulubiwa akafa kisha akapaa mbinguni
Hivyo ukisalitiwa na rafiki/ndugu/mpenzi wako usiwaze sana kumbuka hata Yesu yalimkuta pamoja na kufanya mazuri kwa 100%
Ameandikwa kwenye vitabu visivyo na idadi

Anatafutwa X 25,000,000 na ushee kwa mwezi

.
.
.
.
.

.
.
Samahani kwa niliowakwaza kwa mada ya leo najua nimekorofisha imani za wstu maana ilikuwa hakuna namna
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
Mwisho
........
 
Hiki ni chakula ambacho kinaupa mwili wako nguvu na kina virutubisho vingi sana ambavyo hutopenda kuvikosa!
Ina protein nyingi kuliko mayai
Calcium kwa wingi
Iron kuliko spinach
Manganese
Potassium
Vitamin C
Vitamin B1,B2,B3
Omega 3 kwa wingi
Fiber

Faida zake mwilini ni pamoja na
Vegan,
Regulate blood sugar
Anti oxidants
Anti Cancer
Inasaidia kucontrol weight
Matatizo ya moyo
Lower cholesterol
Usagaji wa chakula tumboni
Acts as sleep Aid
Inaboost Libido
Inaupa mwili wako nguvu
Increase Stamina
Inasaidia kukontrol mzunguko wa hedhi
Inasaidia kubalance hormones
Naomba niishie hapa kwa leo mengine unaweza kugoogle vinginevyo tutakesha
Inapatikana wp?
 
2/Abu Al--Qasim Mu ammad Ibn Abd Allah
bddf0112af04c408b42b2c7d3374853e.jpg
78999669f3d1af55f73cffcac79987f7.jpg
65cba458e3cfc6b06f3154c78e9bc912.jpg

Aliishi kati ya mwaka 570 hadi 673 na sijui kaburi lake mahali lilipo
Kwawasio waislamu Mtume Muhammad ndio mwanzilishi wa Uislamu ila kwa wenye dini yao wanaamini/wanasema hakuanzisha chochote ....mimi simo wanadai Uislamu ulikuwepo kabla yake
Sasa nafiki ushaelewa maana ya Allah Akbar
Ameabdikwa kwenye vitabu kibao idadi haijulikani

Anatafutwa kwa mwezi X 14,000,000 ila hata kapicha hakuna!!
.......
ALLAH AKBAR
 
1/Jesus of Nazareth
d9d86d3ed6278d2a11070d1b0969b3a9.jpg
38a9dc4e18ee78686fd323669b3e09b1.jpg
c482c60eb9f0cfab52596f0fcb22b990.jpg

Aliishi kati ya mwaka 5BC hadi 28 AD Ila wafuasi wake wbado qanaamini yupo hai mbinguni sasa sijui kama keshazeeka au lah
Alizaliwa na Bikira Maria kwa uwezo wa Roho Mtakatifu {kama wewe unahisi alizaliwa kama wewe ilivyotokea kwa wazazi wako mimi sijasema hivyo)
Pamoja na kuishi bila shari na mtu akasalitiwa na bwana Yuda Eskariote na wenzake wachache kisha Pilato akavuta mlungula na kutoa hukumu ya kidwanzi halafu akasulubiwa akafa kisha akapaa mbinguni
Hivyo ukisalitiwa na rafiki/ndugu/mpenzi wako usiwaze sana kumbuka hata Yesu yalimkuta pamoja na kufanya mazuri kwa 100%
Ameandikwa kwenye vitabu visivyo na idadi

Anatafutwa X 25,000,000 na ushee kwa mwezi

.
.
.
.
.

.
.
Samahani kwa niliowakwaza kwa mada ya leo najua nimekorofisha imani za wstu maana ilikuwa hakuna namna
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
Mwisho
........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom