Makapuku Forum

Makapuku Forum

d22082872f141ef60dce3b22f904d708.jpg
 
Muziki: Usiku wa Manane

Sijui kama ni sahihi kuanza kusalimia muda huu, maana utaianzaje salamu sasa wakati hata mwenyewe baada ya nukta tu nitalala. Well, nikutakie usiku mwema. Unajua nafasi yako hapa jukwaani haiwezi kulinganishwa na chochote. KF ni sehemu nzuri kwa kuwa wewe ni sehemu yake.

Utakuwa umenote kitu, mahudhurio yangu wiki jana na hii yamekuwa down sana, ni kwa sababu , kama ni mpira basi timu yangu inashambuliwa na refa kapoteza kipyenga linesmen virungu vimeloa kwa hiyo inabidi hadi kipa akabe.

Kifupi nimetingwa na nikamuomba shululu aweke muziki au member yeyote ambaye ataweka kwenye mida segment ya muziki inapoanza baada ya 10 kubwa. Shululu umekuwa kimya hebu mawasiliano yako. Niwashukuru lee empire mjomba wangu huyu, Jimena kwa historia, Nyagei kwa sports, Shunie kwa neno na sala, husna muba kwa hadithi na maarifa kwa ufupi bila kumsahau Bitoz

Ninyi watu Tumosa ninakuangalia tu, maana kutokuwemo humu sio kwamba sisome fitna zote, ha ahahhaah, dumejeuri asante kwa kulichangamsha jukwaa, mzeewakungoa asante mdau, makaveli10 , Madame S , BlessedHope , Transcend , Mondray , dingimtoto , demi , Curious gal na wewe ambaye sijakutaja maana usiku umeenda, ni jambo zuri kuwa hapa


Tarehe kama ya jana mwaka 2001 ndio Alicia Keys aliachia hii ngoma.

Big up mtaasisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom