eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Lile lisahani hatuna bahati naloSafi tu
Nakusalimu kwa jina la ArsayNO
![]()
![]()
![]()
.....
Ila zile penalty ni mara ya kwanza kuziona chelsea wakizipiga
Lile lisahani hatuna bahati naloSafi tu
Nakusalimu kwa jina la ArsayNO
![]()
![]()
![]()
.....
Namkubali mno huyu mwanasayansi10/Sir Isaac Newton![]()
![]()
![]()
Alizaliwa mwaka 1642 na kufariki dunia mwaka 1727
Kama ulisoma sayansi walau kidato cha pili tu halafu humjui huyu mtu basi ulienda shule kusomea ujinga badala ya kuondoa ujinga
Ameandikwa kwebye vitabu karibia 500,000 na inakadiriwa umaarufu wake hautaweza kupitwa na mtu landa baada ya miaka zaidi ya 250
Jamaa ni mfalme wa Mechanical Physics na umaarifu wake mkubwa upo kwenye Newton's Law of Motion wala sikusimulii inasemaje kama ulikimbia umande shauri yako
Pia jamaa ni noma linapokuja suala la Principles of Natural Philosophy
Kwa mwezi anafuatiliwa (searched) na watu zaidi ya 2,000,000
..........
Ni Gallileo sijui GalilleoNamkubali mno huyu mwanasayansi
Na yule wanamwita galilei sijui kama sijakosea
Nafikiri hata yeye alichora kwa kukisia tu siku zote ukimsoma mtu hata kama hukuwai kumuona unaweza kumchora uhalisia wake9/Leonardo di ser Piero da Vinci![]()
![]()
Alizaliwa mwaka 1452 na kufariki dunia mwaka 1519
Huyu jamaa hapendwi kabisa na wakristo kutokana na baadhi ya Code Pictures kuhusu kanisa na mambo mbalimbali ambazo zinajikita kwenye kutoboa siri ya mambo yaliyojificha
Japo hapendwi ila yeye ndo aliyetuchorea sura ya bwana Yesu tunayoiabudu makanisani kwani baada ya kuichora ndio wakatafutwa watu wanaofanana nayo na kuigiza filamu za Yesu na hata picha za vitabuni
Jamaa pia ana mchoro wa The last super ambao una code zinazoonesha Yesu alikuwa na demu![]()
![]()
Vipi juhusu Monalisa ?...kuna asiye hujua?
Ila jamaa anadaiwa alikuwa shoga
Kaandikwa kwenye vitabu zaidi ya 6,000,000
Kwa mwezi anatafutwa zaidi ya X 4,000,000
......
Yes ni galilleoNi Gallileo sijui Galilleo
..........
Huyo ni noma karibu ila kitu kikuu yupo alikuwa na vipaji vingi balaaNafikiri hata yeye alichora kwa kukisia tu siku zote ukimsoma mtu hata kama hukuwai kumuona unaweza kumchora uhalisia wake
Mimi binafsi sura ya Yesu sijui na wala sidhani kama kuna alieiona

Alikuwa na roho mbaya kuwahi kutokea7/Adolf Hitler![]()
![]()
Alizaliwa mwaka 1889 na kufariki/kujiua mwaka 1945 baada ya kushindwa WW2
Achana na vidikteta uchwara huyu ndio baba wa madikteta wote duniani...babe wa wababe
Achana na mabaya yake yote kama unaziona gari za Volkswagen basi elewa mwanzilishi ni yeye msana alitaka kila Mjerumani aendeshe gari badala ya baiskeli![]()
Anskumbukwa kwa kunyanyasa na kuua mamilioni ya Wayahudi ila mimi nafikiri aliona mbali na kuhisi wataitawala dunia kutokana na IQ zao kubwa hata leo kila mtu anaona Wayahudi walivyo tishio kiuchumi,kiteknolojia hata kisiasa ni shida tupu
Alikuwa swahiba mkubwa wa Benito Mussolini na wote walikufa 1945 baada ya kushindwa vita
Ameandikwa kwenye vitabu zaidi ya 200,000
Kwa mwezi anatafutwa X 6,500,000
.......
Meno yote nje kwa raha zakoBitoz mimi
![]()
![]()
![]()
....
Hiki ni chakula ambacho kinaupa mwili wako nguvu na kina virutubisho vingi sana ambavyo hutopenda kuvikosa!Naomba kujua kuhusu chia seeds

Msomi wa wakati huo katika dini la Kiyahudi kabla hajaongoka na kuanza kumhubiri kristo6/Paul The Apostle of Tarsus![]()
Alizaliwa mwaka 5C na kufa 67 AD![]()
Kwa Wakristo anajulikana kama Mtume Paulo na ndiye mtume aliyeipigania dini kwa kuweka miongozo na kanuni tunazozifuata hadi hii leo
Msishangae kwa Wakatoliki jina Paulo ni maarufu hata kwa Mapapa linapendwa zaidi
Alitoa barua/waraka 13 kwa wakristo wa madhebu yote hivyo makanisa yote yanamfahamu huyu mtu
Anajulikana kwa wakristo kama mtu wa kwanza kujua kuandika
Kaandikwa kwenye vitbu takribani 7,000,000
Kwa mwezi anatafuta takribani X 4,000,000
.................... ...
Zitaendelea baadaye
Wacha nisindikize maombi yako.Ee Bwana umenitetea mateto ya nafsi yangu umeukomboa uhai wangu
Umekuona kudhulumiwa kwangu Ee Bwana unihukumu neno langu
MAOMBOLEZO 3:58-59
Muwe na mchana mwema mbarikiwe sana![]()
Zinapatikana wapi JJHiki ni chakula ambacho kinaupa mwili wako nguvu na kina virutubisho vingi sana ambavyo hutopenda kuvikosa!
Ina protein nyingi kuliko mayai
Calcium kwa wingi
Iron kuliko spinach
Manganese
Potassium
Vitamin C
Vitamin B1,B2,B3
Omega 3 kwa wingi
Fiber
Faida zake mwilini ni pamoja na
Vegan,
Regulate blood sugar
Anti oxidants
Anti Cancer
Inasaidia kucontrol weight
Matatizo ya moyo
Lower cholesterol
Usagaji wa chakula tumboni
Acts as sleep Aid
Inaboost Libido
Inaupa mwili wako nguvu
Increase Stamina
Inasaidia kukontrol mzunguko wa hedhi
Inasaidia kubalance hormones
Naomba niishie hapa kwa leo mengine unaweza kugoogle vinginevyo tutakesha![]()
![]()
![]()

Alikamatwa akawekwa ndani na WaromaMsomi wa wakati huo katika dini la Kiyahudi kabla hajaongoka na kuanza kumhubiri kristo
Alifia kifo dini huko roma
Mbona hatukujuiNinapoona top ten,nakumbuka enzi zangu...