shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante mkuuAhsante mkuu kwa hisani ya Simbu uwe na jioni tulivu
Asante mkuuAhsante mkuu kwa hisani ya Simbu uwe na jioni tulivu
Tupo hapa shemelaWazee wa hadithi
Nipo poa shem za weweUko poa lakini shem wane
Kweli!!!! SijamuonaWoyoooooooo Mama anarudi leo![]()
Mungu ni mwema
Atakuja shemela jamanKweli!!!! Sijamuona
Nawaona NawaonaTupo hapa shemela
Haya shemela, ngoja nisubiriAtakuja shemela jaman
AmenEe Bwana umenitetea mateto ya nafsi yangu umeukomboa uhai wangu
Umekuona kudhulumiwa kwangu Ee Bwana unihukumu neno langu![]()
MAOMBOLEZO 3:58-59
Muwe na mchana mwema mbarikiwe sana![]()
Umepiga jiwe mezani Ukisikia uuuwiiTOP TEN
Wakati Jf kuna pipo zinajiona ni maarufu wakati umaarufu wao ni wa humu humu ukienda Google huwezi kuwapata hata Facebook.....Humu maarufu wa kweli ni Maxence Melo na kubwa jinga Le Mutuz halafu kuna mtu kama Ontario ambaye now walau hata sura yake tunaifahamu....wengine wote umaarufu wao labda upo kwenye kuta za vyumba vyao tu ila Umaarufu bila pesa ni kazi bure lengo langu leo siyo kuwaponda watu bali kuwazungumzia watu kumi maarufu zaidi ever duniani
Yaani watu ambao wanafuatiliwa zaidi huko kwenye mtandao mkubwa wa Google ili waru asome habari zao
NB
Niyaandikayo hayahusiani na udini hivyo wafia dini mnisamehe nikiwataja watu wenu maana lengp limeshaelezwa hapo juu
Karibuni
......
Safi tuUmepiga jiwe mezani Ukisikia uuuwii
Ujue tayari
Habari yako bitoz