Makapuku Forum

Makapuku Forum

Anko, umeamka salama naamini. Hata mimi pia. Huyu Curious gal nilitaka kumwambia kuwa mimi niko na mdada ninayemfurahia upeo yaani akiomba tano anapata kumi akiomba moyo nampa roho, akikohoa mimi natema, akiniambia nikachekee chooni mimi nachekea kwenye tundu kabisa. Na akisema ninawe uso mimi naoga kabisa na akisema hapendi jino langu la njano mimi naling'oa kabisa.

Sasa nitamwambia nini yeye kwa mfano
Utamwambia neno
 
Hivi ulisema list yako ndo yangu ..??

Maana kwa sasa list yako hiko hivii

649228d83c612f59d9da8fdba56fb34d.jpg


Tumuongeze nan hapo ??


Namba tano imekosewa kabisa
 
Leo katika Historia

1976 - Paulo Wanchope anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Costa rica. Alicheza hadi ligi kuu ya England.
Juu
Leo katika Historia

1979 - Carlos Marchena anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Valencia na timu ya taifa ya Spain.
Alichukua ubingwa wa Dunia na Spain mwaka 2010.

Leo katika Historia


1981 - Titus Bramble anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Wigan na Sunderland.

Leo katika Historia

1987 - Michael Bradley anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira toka Marekani.
Maarufu sana kwa kuwa na kipara muda wote.
HBD
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom