Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Kwani alipoteaWelcome back
Kwani alipoteaWelcome back
Umeaminiii maneno yanguu?,Oops
My love....
Ongeeni hapahapaOh, kulikuwa na typo nyingi sana nimerekebisha. Kung'oa yupo mzee humu ndo kazi yake, njoo chemba nikupe namna ya kujikinga naye
Siku 2 tatuKwani alipotea
Respect kwako broasante sana mkuu
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
...Tulisema tufanye kimya kimya lakni nimejisahau nikaweka vibration, hata hivyo bado tukomae na mpango mkakati wetu na tufanye kwa mujibu wa hadidu rejea

...mjomba njoounisafishie jina langu kabla sijachukua maamuzi magumu kama ya kipindi kileeee

Hivi ulisema list yako ndo yangu ..??
Maana kwa sasa list yako hiko hivii
![]()
Tumuongeze nan hapo ??

Kwenye uaminifu yupo vizuri ndo maana mama ashura alimtuma dera akanunua mawili

....yaani unamsifu mtu ambaye anakuwa mwaminifu kwa mtu mmoja tu? Lol, kimaadili timilifu ukiwa mwaminifu kwa mtu mmoja huwezi kuwa mwaminifu.
Kuwa mwaminifu ni lazima uwe mwaminifu kwa wengi..
Serious Note: Haya maneno ya juu sijaandika mimi, msijenipakazia kwa la habibti wangu. simu iko nachaji kwenye kibanda cha mpesa

na kwako pia asee mdauRespect kwako bro
Ha ahahaahahah, nasubiri watoto wa shululu na Tumosa niwaongeze kwenye list, kwa sasa muweke mzeewakungoa

Sasa ukishakuwa na mtu zaidi ya mmoja basi wewe sio mwaminifu
Na kweli naona hayo maneno yatakuwa yameandikwa na mtu wa kibanda cha mpesa
Mwengine ni baba dNaomba kama kuna mwingine niambie nifanye updates kwa leo tuwatangaze kwenye uwazi