Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ooooooh ngoja nikukumbusheee ....PM ni nini tena anko, kuna member mpya anaitwa pm jamani? Mbona mimi ninakuwa wa mwisho kujua mammbo mazuri mazuri? na kwani huyu pm asifunguliwe, nani kamfungia nje?
pm ni mchepuko wake yaaani partner of Mondray ambaye na wewe una vigezo vya kukaba hiyo nafasiiiii
N.B sikupigii debe pambana na hali yakoo
Nitamshkuru Bwana kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu