Makapuku Forum

Makapuku Forum

Anko, umeamka salama naamini. Hata mimi pia. Huyu Curious gal nilitaka kumwambia kuwa mimi niko na mdada ninayemfurahia upeo yaani akiomba tano anapata kumi akiomba moyo nampa roho, akikohoa mimi natema, akiniambia nikachekee chooni mimi nachekea kwenye tundu kabisa. Na akisema ninawe uso mimi naoga kabisa na akisema hapendi jino langu la njano mimi naling'oa kabisa.

Sasa nitamwambia nini yeye kwa mfano


 
43ab7fd7c4853d7fc43320d8a50e9550.jpg



Cc Sakayo
Welcome back
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom