Makapuku Forum

Makapuku Forum

5/Peace Hyde
96a5423c8678391adb2dc4e7cb4ae89d.jpg
ca36d393a08d28af1d69ad0f61ef23d2.jpg
ce1f461aa7b45fefe04bff058ae67a59.jpg
Amezaliwa Agosti 9 1985 huko kwa vinara wa uchawi barani Afrika
Huyu ni binti wa Kighana
Ni mwongoza vipindi vya luninga na matamasha katika nchi za Ghana na Uingereza
Ni binti kichwa aliyepata Shahada ya kwanza bila kusapua(supplementary) !!! Ana Degree in Psychology(Hons) kutoka Middlesex University huko kwa Malkia
Ametajwa karibu kwenye kila jarida linalozungumzia wanawake wenyewe mvuto barani Afrika

............
Anastahili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom