[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo hapo alipopatumia ndio pazuriKwa nini asingemsalimia bila kumquote shemela wangu alichoongea
Cc.obeObe anajua kunywa supu?' [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hata awe tukunyema km mama ashura ye twende tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemela hueleweki aisee we vibongee twende viportable twende
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nakuonaaa nakuonaaa. ..mpendwa mchepuko wa binamuKokoriiiiikoooooo
Kutokana na story zenu we na anko inaonekana mama ashura ni wako anko wako yuko na mdogo wake ma ashura hapo bado ile michepuko mingine ,....kuna ufundi hata hayo unayotaka kuyaona huyahitaji.
halafu endelea tu kukiuka makubaliano yetu, mama Ashura katokea wapi sasa hapa wakati unajua kabisa lee empire ndo mmiliki mtekelezaji
Pesa pesa nduguAsante Bitoz
Huo mwaka aliozaliwa kanaonekana kabinti kumbe kibibi gagula
[emoji1] [emoji1] [emoji1] we ndio ulianzisha banaaAhahahh binamu mpendwa wako ndio kamtaja mama ashura ujue sio mie makubaliano yetu yapo pale pale
[emoji134] [emoji134] [emoji134]...nina mapengo, labda nitafuniwe kwanza ndo naweza kunywa , itafunwe halafu ipozwe. Na toothpick isisahauliwe, maana unaweza kuanza kuinywa kumbe kuna vilevivuzivuzi havikusafishwa vizuri.
Supu ya kongolo ni nzuri sana ila isafishwe vizuri vile vimanyoya (vivuzivuzi)huwa vinakera
Hee!kwani hukuona zile supu alizoleta bitoz?!Supu ya nini hio?