Makapuku Forum

Makapuku Forum

9/Omotola Jalade Ekeinde
641e88656014d4f21fe56e727d2c5ac0.jpg


62cff7937c794bc47188127fe3edcc88.jpg
aa95ecbe4f0015ee788831006a1fe90f.jpg
Alizaliwa Februari 7 mwaka 1978
Huyu pia ni mcheza filamu za Kinigeria huko Nollywood
Siyo tu mcheza filamu bali pia ni nyota/superstaa huwezi mlinganisha na akina Johari wa Bongo
Baadhi ya muvi alichocheza na kutamba vilivyo ni
Ije,
A Private Storm,
Mortal Inheritance
& Last Fight to Abuja

Ana mpunga na biashara za kueleweka

............
Nampenda huyu mama aisee
 
9/Omotola Jalade Ekeinde
641e88656014d4f21fe56e727d2c5ac0.jpg


62cff7937c794bc47188127fe3edcc88.jpg
aa95ecbe4f0015ee788831006a1fe90f.jpg
Alizaliwa Februari 7 mwaka 1978
Huyu pia ni mcheza filamu za Kinigeria huko Nollywood
Siyo tu mcheza filamu bali pia ni nyota/superstaa huwezi mlinganisha na akina Johari wa Bongo
Baadhi ya muvi alichocheza na kutamba vilivyo ni
Ije,
A Private Storm,
Mortal Inheritance
& Last Fight to Abuja

Ana mpunga na biashara za kueleweka

............
Kifaa cha ukweli hicho
 
Binamu obe jamaan binamu yangu mie naomba hizi nyimbo ya kwanza perfect combo ya chidinma ft joh makini na ya pili ya lady jaydee ft spicy we belong together zimfikia Baba D wangu popote alipo

Nyimbo ya tatu naomba service ya fally ipupa ituburudishe kapuku wote nakupenda binamu Obe jamaan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom