shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Siyo rahisi kihivyoDangote anafilisikaas
Nani anagawa jamaan nijinywee mieKuna supu eti![]()
Type zangu hizoSanaaa shemela
Haya mpendwa wa binamuHunishindi mm wewe
DuhSijui mi nimejisemea tu
Safi shemela wangu mie jamaan mke mwee vipiii alisema akipotea tukuulize wewe jaman baba jjShemela wa mimi apa za jioni
Kwahiyo shemela na wewe umekuwa mzee wa churaBitoz analeta kumi kubwa za misambwanda![]()
![]()
Ahahhaha shemela jaman mbona umefurahi hivyo
Nyagei utamuwezaNani anagawa jamaan nijinywee mie
Hapa nina uhakika.... Hutoki pale wewe... Si kwa uchawi ule wa Sumbawanga.Hata hapo umekosea pia
Viportable eenh Baba D wangu ameridhika na kibonge wake shuniiType zangu hizo
Ameenda kijijini kusalimia, muda wowote anarudiSafi shemela wangu mie jamaan mke mwee vipiii alisema akipotea tukuulize wewe jaman baba jj
Ni mpendwa wa binamu ndio kasemaNyagei utamuweza
Sawa shemela kaenda na kina jj eenhAmeenda kijijini kusalimia, muda wowote anarudi
Yupo kwa dj ObeHapa nina uhakika.... Hutoki pale wewe... Si kwa uchawi ule wa Sumbawanga.
Haya weeSiyo rahisi kihivyo
Hawezi waacha aiseeSawa shemela kaenda na kina jj eenh