Makapuku Forum

Makapuku Forum

1/Noni Zondi
f6ad44fbe6eef8b6e1f02b0957c2082a.jpg
e5110ad36871fd1b0c06edf717836bfb.jpg
57296b48f9670abe6bdd4ef9a8880b32.jpg
Sijajua mwaka aliozaliwa huko kwa Rais mkware na taifa kinara kwa Virusi Vya Ukimwi duniani
Huyu ni celeb wa huko Afrika Kusini
Anaishi pia jijini London
Hujishughulisha na mambo mengi ya Sanaa ikiwepo muziki na vipindi vya luninga
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane Jumatatu
Mwisho

..............

Asante bitoz kwa kumi kubwa
 
Yuko vizur kukumanga
 
Muziki wa Wapendanao

Hakuna ubaya kufanya unachoamini katika moyo wako kuwa ni sahhi, kila mtu ana belong kwa mtu wake. Chaguo la wapendanao leo ni kwa hisani ya Shunie na lee empire

Tufurahike pamoja nao

Mnaosemaga mapenzi sio dawa njooni mbishe hapa, yaani nyimbo mbili kwa mtu mmoja, its like moving from dedication to deadication
Tufurahike nao zaidi na unapoagiza combo jua kabisa unapata a meal + a drink

Wewe ni wangu tu babe we be long together, mimi ni wako tu babe we belong together Baba D hizi nyimbo zikufikie popote ulipo lee wangu nakupenda me jaman shunie me sitamani hata kukupoteza Mungu azidi kukuweka lee sa shunie

Ahahha ila binamu umenichesha na mstari wako wa mwisho binamu asante sana tunakupenda jamaan mpendwa wake husna muba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom