mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Obe katika ubora wakeAcha uoga, unaweza kuwamiliki bila hata kuongea nao, tafuta picha ikate bandika room, anakuwa wako unamvua unavyotaka
Obe katika ubora wakeAcha uoga, unaweza kuwamiliki bila hata kuongea nao, tafuta picha ikate bandika room, anakuwa wako unamvua unavyotaka
Ok
Pumba tu. Mtu kapitwa kwa masaa manne then karudi number tatu huko mnasema kwa sasa ndio tajiri wa kwanza . More less the same to other shitty.
D. D. DAah wap wanafaidi nin hasa kamanda
SwtyNa kwako pia
Binamu wa faida...jiko la shamba
Umemisika na shunie Baba D jamaanSwty
Muziki: Uji Sio Supu ya Ugali
Kama hujawahi kujua hili lijue leo maana hata mimi silijui, kumbe siku zina harufu na kiukweli harufu ya Ijumaa ni tofauti na siku nyingine kama Jumatatu. Ijumaa huwa inanukia kama uvumba na manemane na ina ladha ya emebe mawazo huku jumatatu huwa na harufu ya pilipili kichaa na ndo maana hakuna mtoko wa Jumatatu, sijui. ninakusalimia Kapuku muheshimika, u khali gani! niko poa sana na furahiday ndo hii, take it easy and don't work hard kesho. Kwa wale wenye zamu ya kutumika kimwili basi weekend ndo hii, kazaneni sana maana mwili usipotumika utakuwa bored.
Kwanza niseme tu, maneno spesho kwa husna muba ambaye kiukweli sihitaji kukufikiria ili nijisikie vizuri. Kila wakati unanifanya, sema nifanye nini! Kuna mtu alisimamisha jua, ukitaka nisimamishe saa nitasimamisha, good to see you buddy. Msidhani nimesahau kumsalimia Tumosa kisa tu nimesoma commeny ya shululu aliyetuhabarisha kwa magazeti. Niseme nini juu yako Shunie kwa kutupa sala na ukamuamsha mjomba wangu lee empire akatuletea BBC, hadithi zilizomfanya Jimena atukumbushe kutosahau historia. Nitakutaja tena Husna kwa simulizi za Che, mtaasisi mwenzangu Nyagei ukatuspotisha na mtaalam mwenyewe Bitoz kwa kubwa kumi, asanteni sana wadau.
Mkushi wa kusi , Clkey , Sakayo , BlessedHope , Transcend ,eden kimario , dingimtoto , Mondray mahondaw ,Madame S , mzeewakungoa koncho77 Bailly5 na wewe unayesoma hapa hata kama sijakutaja kwa jina, sijakusahau maana wewe ni tmu muhimu sana hapa jukwaani. Unalifanya Jukwaa hili lipendeze na unapozidi kuulamba basi nasi tunajua kabisa uji sio supu ya ugali.
Muziki sasa, kuna wakati unaweza kujiuliza mbona anayerudia kaharibu, well zipo baadhi ya nyimbo waliozirudia (cover) zimkuwa nzuri kuliko original. Unamjua Cindy Lauper na TAT (time after time), kama umemjua mwaka 2013 alipoalikwa kwenye kuapishwa kwa BO basi huyu alitamba miaka ya 80s na wimbo wake umerudiwa na Daynea Deacon mjamaika huyu katika mahadhi ya reggae.
Burudika
![]()
Chaguo la wadhamini na wapendanao litakujia baada ya dakika 15
Najuaa mama D ...Umemisika na shunie Baba D jamaan
Asantee binamu ...
Naomba uniwekee V Bozeman - what is love ....kwa kipenzi cha roho yangu






Ukiwa na mda unakuruhusu weka tu mumeNajuaa mama D ...
Ebhu nambie story niweke au
Sijuii ashaingiaa kwenye timbwilliii la ma ashuraaa
AsanteeUkiwa na mda unakuruhusu weka tu mume
Ahahhh ila sidhani kama ataweka sababu ameshaweka nyimbo nilizokuchaguliaSijuii ashaingiaa kwenye timbwilliii la ma ashuraaa
Binamu limeenda wapi jamaniiii....Ahahhh ila sidhani kama ataweka sababu ameshaweka nyimbo nilizokuchagulia
Binamu limeenda wapi jamaniiii....
Ok swty ebhu enjoy



yaan hata sijui niandike nini utanifanya nikufwe ghafla nakupenda sana lee wangu
Pumba tu. Mtu kapitwa kwa masaa manne then karudi number tatu huko mnasema kwa sasa ndio tajiri wa kwanza . More less the same to other shitty.
7/Vee S Beib
<![]()
![]()
Amezaliwa Septemba 30 mwaka 1989
Achana na Vee Money....ni binti wa Kikenya ambaye jina lake halisi ni Vera Sidika
Ni mpendezeshaji wa video za wanamuziki mbalimbali Video vixien
Anaonekana zaidi kwenye video za kundi la hip hop huko Kenya liitwalo P-Unit
............
7/Vee S Beib
<![]()
![]()
Amezaliwa Septemba 30 mwaka 1989
Achana na Vee Money....ni binti wa Kikenya ambaye jina lake halisi ni Vera Sidika
Ni mpendezeshaji wa video za wanamuziki mbalimbali Video vixien
Anaonekana zaidi kwenye video za kundi la hip hop huko Kenya liitwalo P-Unit
............
Utaweza tuMm nimeanza na kuku wanne cjui ntaweza
HayatokiMaudenda yawatoke tu