Morning too shemelaShemela morning
Ni faida gani basi mliyopata siku zile kwa mambo hayo mnayoyataharikia sasa? Kwa maana mwisho wa mambo hayo ni mauti

Aisee shikamoo lisu
Sipati picha alivyopokelewa huko
Mzee wa misifa
Inasikitisha sana nitalitafuta hili gazetiMichezo burudani na udaku View attachment 549705
Dooh nilivyoona uhamiaji nimemkumbuka binamu obe na wahamiaji haramu kutoka burundi binamu unaona jamaan
AmenNi faida gani basi mliyopata siku zile kwa mambo hayo mnayoyataharikia sasa? Kwa maana mwisho wa mambo hayo ni mauti
Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru na kuwa mbali na dhambi na kufanywa watumwa wa Mungu mnayo faida yenu ndiyo kutakaswa na mwisho wake ni uzima wa milele
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele kataki Kristo Yesu Bwana wetu![]()
WARUMI 6:21:23
Muwe na asubuhi iliyo njema mbarikiwe sana![]()
Hivi Niyonzima mwisho wake alitua mnyama ujue niliacha kufatilia series yake
Woyoooooo mnyama kwenye ubora wake
Aiseeee kweli siku za mwisho zinakalibia
Asante shemela kwa magazetiView attachment 549715Sina la ziada kutoka magazetini Nawatakieni wote siku njema
Barikiwa shemela wanguAmen
Marahaba Mjukuu wangu... Honga mahundo.Shikamoo Babu
Niwedi angezeiwe kuzachaMarahaba Mjukuu wangu... Honga mahundo.
Salama eden za weweHabari ya asubuhi humu ndani