Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
T utakuwa tunabonga aiseeeCuzoo tanga moja hapa sambaa line sema huyo babu kuna mda ananichanganyia kibondei sijui kizugua sema si unajua tunaelewa wote kidogo
T utakuwa tunabonga aiseeeCuzoo tanga moja hapa sambaa line sema huyo babu kuna mda ananichanganyia kibondei sijui kizugua sema si unajua tunaelewa wote kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukajua ni mukongo cuzoooNaona bamutu banaongea habari za mapedeshee tu[emoji38]
Cuzoo huniamini hata mimi[emoji38]Ili mumuibe au [emoji23][emoji23][emoji23] nyaku nyaku wamejaaa
SijakuelewaaaLabda alikua anataka ya peke ake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] cuzoo si alisalimia jamaan sema labda ulitaka ya peke akoNini wewe mwanamke[emoji15]
Presha sitakiii magar yasije kugonganaaHataki vya kushare[emoji38]
Mbona yeye anadhurura
Tupo poa karibuHabari za asubuhi wapendwaaa
Hope Mungu amewaamsha salama..
Wa kushoto aiseeee [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] kwani kuzurula ndio kushare hivi umelalia upande gani leo
Baba D jamaan salamSijakuelewaaa
[emoji3][emoji3][emoji3] wewe nakuamini cuzooCuzoo huniamini hata mimi[emoji38]
Siku zote nilijiona nimejaa dhambi maishani
[emoji15] [emoji15] [emoji15] magari gani baba d aiseePresha sitakiii magar yasije kugonganaa
Sawa Shem lake inabidi nifanye utaratibu wa kumfungia na Nyagei hapa[emoji28]Presha sitakiii magar yasije kugonganaa
Hata me naonaWa kushoto aiseeee [emoji23] [emoji23]
Ndo maaana nakupendaaUzunguke utafute nini babe yanajojiri nakwambia baba d
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyagei anazurula sana hivi utaweza kumfungiaSawa Shem lake inabidi nifanye utaratibu wa kumfungia na Nyagei hapa[emoji28]
Kwa kweli nilitaka ya pekee yangu[emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] cuzoo si alisalimia jamaan sema labda ulitaka ya peke ako
Wa binamu wangu wotee mm nasaidia tu kumfikishia salaamHapo sawa wahamiaji haramu je baba d
Mimi mwenyewe sijamuelewa huyu mke wakoSijakuelewaaa