mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Mtumiaji namba one.... Msifia mvua...??? Ila hata Mimi Nimeshangaa Sana kwamba Shululu Unatumia hii kituSitumii shemela, ukweli kutoka ndani ya nafsi yangu, ila faida ya bangi naijua, ni kubwa sana kuliko madhara