Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Ni salama kabisa mtaasisiHabari za asubuhi Makapuku wenzangu, kumekucha na ni muda mzuri wa kuwsabahi wote hata wale ambao hamtaweza kupata staftahi
Kwanza binamu umetokea wapiiii
Mm niko poa ila nimeshangaa sana kukuona make mateka wa asubh najua faida zake ...
Najua simu umetumia ya muhudumu wa gest ....yako ninayo na nitakachokifanya kwenye simu yako utanijuaa
SawaKumbe na wewe ulimuona, duh sio kwa minyato ile kapita kama hatujui

Hongera sana kwake![]()
![]()
![]()
Na bado anaendelea kudunda tu akiwa bukheri wa afya
......
Ubavu wa kushotoKabisaa nina ubavu tu shem lake![]()
![]()
DuhKazi wanayo ujue sijui inakuwaje na zile pozi zao mwanaume analegeza jicho kalegea halaf mwanamke ndio anaonekana mwanaume ashukuru tu ile rangi
Rest in peace passengers![]()
![]()
![]()
Ilikuwa na safari kutoka Paris kwenda New York
Wakati ikiruka kwenye njia ya ndege tairi likapata hitilafu kisha tenki la mafuta kupasuka
....
Kwa nini tena jamanii....Nikajua umeenda kujitupa juu ya milima au majini ...makee
Kanda ya Ziwa safiii
Tuwe na uchakarikajii mwemaa...
Hello madamHello family
Hello my Shunie....
Missing you a lot....
See you guys around!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Finally you back
Ni poa sana mkuuNiajee makapuku ..habari za masiku? Mpooo. ..nawasalimu tu! Namna gani!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini tena jamanii....

Kumekucha salama kabisa, za siku tele
