Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
BushokeeeNdo maaana nakupendaa
BushokeeeNdo maaana nakupendaa
NiajeeeHabari za asubuhi wapendwaaa
Hope Mungu amewaamsha salama..
Nikajua umeamua kuwa kama wolper[emoji38] [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukajua ni mukongo cuzooo
UrongoooooiWa binamu wangu wotee mm nasaidia tu kumfikishia salaam
Magari ya mwendo kasiii[emoji15] [emoji15] [emoji15] magari gani baba d aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli nilitaka ya pekee yangu[emoji38]
Kitambo sana ujue
Nyageiii haweziiiiSawa Shem lake inabidi nifanye utaratibu wa kumfungia na Nyagei hapa[emoji28]
Niajeee
Nimekuelewa baba d kwahiyo we ni posta jamanWa binamu wangu wotee mm nasaidia tu kumfikishia salaam
Si ulitaka salaam ya peke ako cuzoo jamanMimi mwenyewe sijamuelewa huyu mke wako
Wewee kwendaa zakooo ndoo maana Binamu anachepukaaBushokeee
Itabidi nifanye utaratibu wa kumfungia maana kama sahizi mwanamke niko nyumbani yeye hata haonekani pua[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyagei anazurula sana hivi utaweza kumfungia
Bora uniitie aisee sijui anadhurura wapi huyu mwanaume[emoji30]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jombaaa shusha story banaaMagari ya mwendo kasiii
Mie nabongaga aisee yaan napenda sana na najivunia lugha yangu cuzooT utakuwa tunabonga aiseee
Nitaongea na Max amfungie hapa asipate ruhusa ya kuzururaBro yupo bize na harakati za maisha ila soon anarudii