Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante Bitoz kwa kubwa kulikoo ...tumejifunza mengii na kujua kipi ni kipi kati ya nile na Amazon....tukimsubiria binamu alewe kidogo ili atupandishie song ebu tupate kionjo ....

Don't mess with kansiime. ...


Kuna ubishi mkubwa jinsi ya kuujua ni mto upi mkubwa kati yao
Hata tu kwa urefu wa kawaida
Wapo wanaosema ni Nile badala ya Amazon
Ila kwa upana mto Amazon ni mkubwa
Kwa kimo na ujazo pia ni mkubwa
Hivyo kwa vigezo vyote mto Amazon ni balaa
......
 
Kawaida misitu ndo husababisha mvua sasa huko utasikia Amazon rain forest
Kama ulivyoona picha ule uoto ndo tuseme misitu ya Amazon yaani mto kama kawaida hukatiza porini
Hivyo kuna misitu ya Amazon na kuna mto Amazon ndo wanapoishi Anaconda nafikiri ushawahi kuiona ile muvi na ukaona huo msitu na mto
782df56f368b9e7ac4e66071d11235f8.jpg

Walicheza hiyo muvi Jeniffer Lopez na Ice Cube
Mssitu na mto vyote vipo Brazil
.......
Na Brazil ndio nchi yenye mito mingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom