Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
HeeAsante kushukuru, yaani yana nguvu kama maiti
HeeAsante kushukuru, yaani yana nguvu kama maiti
Dah...nitakuomba msamaha pale yeye akiniomba msamaha, umeona ananvyoniharibia sifa zangu njema kabisa! Yaani isingekuwa yeye sasa hivi mimi ningekuwa Askofu anayeukaribia ukadinali
WoyoooHakuna S bila S
NimeonaHakuna S bila S
WapiiMkataa kwao mtumwa
Husna wangapi kwenye list yetu ile ...Nashukuru mpenzi, yaani ninavyokupenda hata siwezi kukuchanganya majina kama tabia ya anko wangu.
Mimi ni wewe tu kama mfalme wa Swaziland
Kama unavomvurugaa husna na frola

Kweli shemela uchocheziHamna uchochezi shemela
HayaHahahahahah haya mama
Hivi kwa nini unakuwa hivyo
...tumshagraduate sasa, unaweza kutumia mpenzi au mpendwa interchangeably, yote sawa yaani kama manukato na unyunyu

Moyo WA Sakayo msukume TWoyooooooo moyo wa sakayo tembea na T
Pole shemela umeamua kurudisha majeshi nyuma
u made my day Ndioo
Ndo na wewe shangaaaHuyu ndio binamu yangu mie obe au mtu kahuck id yake
Ina niniHiyo salamu
Huyu huyu mmoja niliyenaye, anayewashinda wote maana hashindani na mtu. Nampenda maana anapendeka na kwa kuwa mimi ni mtulivu basi ananipenda bila masharti, mrembo wa kupendeza, anajipodoa anapodoka na mpododo umetuliza shanga a wewe.
minaweza kukesha naandika sifa zake zote

Won't be easier...Kufa nayo moyoniii