Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huyu huyu mmoja niliyenaye, anayewashinda wote maana hashindani na mtu. Nampenda maana anapendeka na kwa kuwa mimi ni mtulivu basi ananipenda bila masharti, mrembo wa kupendeza, anajipodoa anapodoka na mpododo umetuliza shanga a wewe.

minaweza kukesha naandika sifa zake zote
Ila jamila alikupaa nini ...naona unamwagiaa sifaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom