Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,278
- 35,639
Kwa hiyo husna leo ndo VIL
....yeah, ndo VIL yaani ndo president wengine wote ni residents
Kwa hiyo husna leo ndo VIL
MuoneNinayoo mm
.....hebu ngoja kwanza, nimeshabadilika kabisa. Hata ukiniona leo nimebadilika, huwezi kuamini sikuwa hivi

Leo shululu kawa mwemaa kwakooo ....ila kumbuka ulichowaaidiii hawa wa kwa mama wawiliYaani katika member wote humu ndani ni wewe peke yako uko upande wangu. Nakushukuru sana maana kila mtu ananiona mimi kama mmasai hakuna anayetaka kuniwekea dhamana.
Kama bado uko Moshi pita hapa USA river kwenye mto wa Mungu tupate japo mbili tatu au hata nne tano sio mbaya kila mmoja kwa hela yake
Asante bitoz kwa kumi kubwa1/Amazon River![]()
![]()
![]()
Upo huko Brazil
Kama unamjua Anaconda basi pia unaujua vizuri huu mto na hivyo siandiki sana
Una urefu wa Km 6992
..
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti madam
Tukutane kesho
.......
Mishkaki binamu na maji ya goldHilo ndo huwa nakupendea aunt yangu, yaani unajua kabisa mapungufu yangu lakini unaniteteaga sana. Ikifika Ijumaa nidai hata mishkaki na maji makubwa ya Kilimanjaro au unapenda Uhai drinking wota?
AhahhhNinayoo mm
Asante, ndio nakaribia hiviPole na majukumu na karibu nyumbani
Salamu zimfikie mama yangu popote alipo...tumshagraduate sasa, unaweza kutumia mpenzi au mpendwa interchangeably, yote sawa yaani kama manukato na unyunyu
Mke wangu ndo unamdanganya na mishikakiii kweliii..mmke ya pedeshee ??Hilo ndo huwa nakupendea aunt yangu, yaani unajua kabisa mapungufu yangu lakini unaniteteaga sana. Ikifika Ijumaa nidai hata mishkaki na maji makubwa ya Kilimanjaro au unapenda Uhai drinking wota?
Haaaaahaaaa, Asante obe kwa offer ya HeinekenYaani katika member wote humu ndani ni wewe peke yako uko upande wangu. Nakushukuru sana maana kila mtu ananiona mimi kama mmasai hakuna anayetaka kuniwekea dhamana.
Kama bado uko Moshi pita hapa USA river kwenye mto wa Mungu tupate japo mbili tatu au hata nne tano sio mbaya kila mmoja kwa hela yake
Mjomba leo utaguna sana, mama mchuchu kafunga kwa ajili yako, kaenda kwa mganga kaambiwa una mapepo 7, ndo anayaombea sasa










Ata tudipoeendaaaSafari hakunaaaa
Kama unavomvurugaa husna na frola
Mama mchuchu huyu uliyekuwa unamlia target auMjomba leo utaguna sana, mama mchuchu kafunga kwa ajili yako, kaenda kwa mganga kaambiwa una mapepo 7, ndo anayaombea sasa
Yupi sasa huyo mpenzi wakoHivi mbona simu yangu haina hutu tuemoji? Nataka nimtumie mpenzi wangu