Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
UsoniWapiiiii
UsoniWapiiiii
Karibu mkuumnikaribishe humu na mimi jamanii...
Safari muhimu unaenda kigoma nn
Labda binamuUsukume jamaan Baba D kama namuona anatamani ata akuchokoze
Hii movie nzuriKawaida misitu ndo husababisha mvua sasa huko utasikia Amazon rain forest
Kama ulivyoona picha ule uoto ndo tuseme misitu ya Amazon yaani mto kama kawaida hukatiza porini
Hivyo kuna misitu ya Amazon na kuna mto Amazon ndo wanapoishi Anaconda nafikiri ushawahi kuiona ile muvi na ukaona huo msitu na mto![]()
Walicheza hiyo muvi Jeniffer Lopez na Ice Cube
Mssitu na mto vyote vipo Brazil
.......
Uchambuzi huoHusna wangapi kwenye list yetu ile ...
Usinambie umenunua notebook mpya
AlbertNi Daudi
Atakuwa mlinzi ya tupendane gest housNani kashika simu yake
Huo ndio uanaume ubarikiwe sana shedede mkaribishe vizuri huyo mariam aliyeingiaI stayed in truth,may god bless your relation ship,and give you all of your career ...[emoji120] [emoji120] [emoji120] be blessed.
post using my macbook air using jamiiforums app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] uzuri wake huyu mtani wakoUlivyo zuzu najua umehesabu hadi mito ya kulalia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.......
Shemela siwezi kukufanyia hivyo [emoji85] [emoji85]Kweli shemela uchochezi
Yaaan binamu wangu namuoneaa tabuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna offer hapoooHaaaaahaaaa, Asante obe kwa offer ya Heineken
[emoji23][emoji23][emoji23]...ha hahaha hahaha, kwani muda woote wakati napanga safari ulidhani naenda wapi? Mbona unataka kuwa wa mwisho kufahamu jamani?!!!1
Nakupenda we Baba jamaan [emoji8]
Binamu kafanyaje tenaLabda binamu
MshindweeeeAlbert
[emoji3][emoji3][emoji3]Atakuwa mlinzi ya tupendane gest hous
Ilivyokata kata kona ya mombo kuelekea SoniIna nini
Mmh shemelaShemela siwezi kukufanyia hivyo [emoji85] [emoji85]