Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Kweli shemela mshindweAisee nimecheka
Kweli shemela mshindweAisee nimecheka
Kulwa na doto jamaniHawana majina mke mwee
Loh!!!!Nakukumbushaaa tuu jamaaniii...ata frola ulikuwa unammwagiaa sifa kama hiziii kwa husna
Thanks be blessedWow! Am gratefully,
Thanks alot, i appreciate your presence of being here
Love you alot...![]()
post using my macbook air using jamiiforums app
Sio tu mito Brazil ni miongoni nchi 5 kubwa kama sijakosea na safari tu kwa gari/ndege ndani ya Brazil kutoka Magharibi kwenda Mashariki au Kusini kwenda Kaskazini ni sawa au pengine kuzidi safari kutoka Mtwara hadi MisriNa Brazil ndio nchi yenye mito mingi
Yameisha shemelaShemela mshindwe jamaan
Wengi hawajui ati...ha hahaha hahaha, kwani muda woote wakati napanga safari ulidhani naenda wapi? Mbona unataka kuwa wa mwisho kufahamu jamani?!!!1
Dada yako huyo lakiniKweli shemela mshindwe
0Albert
Kulwa na doto jamani



hata kulwa na doto wana majina jaman kwan hamjawabatizaNakuona mke mweeeHuo ndio uanaume ubarikiwe sana shedede mkaribishe vizuri huyo mariam aliyeingia
Mgumu kuelewa huyoKulwa na doto jamani
Mie simooBashite![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
WalaaMnakomoaanaaa??
Hello ShedyHi.. sakayo,
post using my macbook air using jamiiforums app
Uko sahihi kabisaSio tu mito Brazil ni miongoni nchi 5 kubwa kama sijakosea na safari tu kwa gari/ndege ndani ya Brazil kutoka Magharibi kwenda Mashariki au Kusini kwenda Kaskazini ni sawa au pengine kuzidi safari kutoka Mtwara hadi Misri
.......
Si umaliziee Bitoz wa Husna
Hahahaha....Mijicho kodoo
Cc.obe