Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sawa ni mda kidogo mbona sasa ulipomuona facebook ulimtumia request ....na unakumbuka alivokukubaliaa ulisema nini ???

Yaaan kama hujuii ukiniachia simu na kwenda kwa wapenzi wako wa kule cha kwanza naangaliaa sms


...heh, ulimuona na yule mwalimu mwenzangu uliyeniambia nimpelee kile kitengee ulichomnunulia wakati wa kilele cha mbio za mwenge?
 
Msitu Wa Amazon na mto Wa Amazon viko kwenye nchi 1?
Kawaida misitu ndo husababisha mvua sasa huko utasikia Amazon rain forest
Kama ulivyoona picha ule uoto ndo tuseme misitu ya Amazon yaani mto kama kawaida hukatiza porini
Hivyo kuna misitu ya Amazon na kuna mto Amazon ndo wanapoishi Anaconda nafikiri ushawahi kuiona ile muvi na ukaona huo msitu na mto
782df56f368b9e7ac4e66071d11235f8.jpg

Walicheza hiyo muvi Jeniffer Lopez na Ice Cube
Mssitu na mto vyote vipo Brazil
.......
 
Nashukuru mpenzi, yaani ninavyokupenda hata siwezi kukuchanganya majina kama tabia ya anko wangu.
Mimi ni wewe tu kama mfalme wa Swaziland
I stayed in truth,may god bless your relation ship,and give you all of your career ...[emoji120] [emoji120] [emoji120] be blessed.

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Back
Top Bottom