Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yaani katika member wote humu ndani ni wewe peke yako uko upande wangu. Nakushukuru sana maana kila mtu ananiona mimi kama mmasai hakuna anayetaka kuniwekea dhamana.

Kama bado uko Moshi pita hapa USA river kwenye mto wa Mungu tupate japo mbili tatu au hata nne tano sio mbaya kila mmoja kwa hela yake
[emoji1] [emoji1] nilizani unamnunulia [emoji1]
 
Back
Top Bottom