Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anachompa Obe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anachompa Obe
Safari hakunaaaa.....hebu ngoja kwanza, nimeshabadilika kabisa. Hata ukiniona leo nimebadilika, huwezi kuamini sikuwa hivi
Ameen mke mwee zimefikaSawa mke mweee ongezea na yakwangu mwambie namuombea apone haraka
Asante1/Amazon River![]()
![]()
![]()
Upo huko Brazil
Kama unamjua Anaconda basi pia unaujua vizuri huu mto na hivyo siandiki sana
Una urefu wa Km 6992
..
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti madam
Tukutane kesho
.......
KheeeeeJanja yako tushaijua, unataka uitwe wewe ukemee uanze kuwapapasa wenye 'mapepo'
Kwanzaa pole na majukumu loveRoyo yangu
Mmmmh
Nikujuayeee mm au.....hebu ngoja kwanza, nimeshabadilika kabisa. Hata ukiniona leo nimebadilika, huwezi kuamini sikuwa hivi
[emoji3][emoji3][emoji3]ningeshangaa ungemlipiaYaani katika member wote humu ndani ni wewe peke yako uko upande wangu. Nakushukuru sana maana kila mtu ananiona mimi kama mmasai hakuna anayetaka kuniwekea dhamana.
Kama bado uko Moshi pita hapa USA river kwenye mto wa Mungu tupate japo mbili tatu au hata nne tano sio mbaya kila mmoja kwa hela yake
Kweli Baba DMmmmh
SkhamoJamaaaniii
[emoji3][emoji3][emoji3]Yeah, mimi ni mtu wa kidunia, baadaye nitabadilika nihamie mbinguni
Miss u too swtheart[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Utakaa mbele ya wapiHa hahahahhaa, ndo ujue ni shida yaani nimesahau hata kuwa huwa nakuwaga wa mwisho.
Nimenunua viatu vipya juzi, jumamosi nitaanza kukaa mbele
Kama wewe ulivozamia msikitiniii siku ileJanja yako tushaijua, unataka uitwe wewe ukemee uanze kuwapapasa wenye 'mapepo'
MmmhWalichowekaa wee achaaa ...ntakusimuliaa
Nalijua hili binamuAsante kushukuru, yaani yana nguvu kama maiti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo husna leo ndo VIL
HeheShikamoo
AhahhhhKuliko breakdown