Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yupi sasa huyo mpenzi wako


Huyu huyu mmoja niliyenaye, anayewashinda wote maana hashindani na mtu. Nampenda maana anapendeka na kwa kuwa mimi ni mtulivu basi ananipenda bila masharti, mrembo wa kupendeza, anajipodoa anapodoka na mpododo umetuliza shanga a wewe.

minaweza kukesha naandika sifa zake zote
 
2/Nile River
8a3ca2779dbf2ed660f6a87fdff68494.jpg
034d04a73a6dad6c9165bfe002c7dcbf.jpg

U
d61847d98a72d6d21b1cdcc23e762e85.jpg
Unaanzia ziwa Victoria sijui ndo unaishia na umefika hadi Misri ukikatiza karibia kwenye nchi kama tank
Ila wananufaika zaidi Wamisri na Wasudani ambayo nasikia wametusainisha vimikataba vya kichifu Mangungo hivyo wabongo wanayatizamatazama tu maji wakati wenzao wanafua umeme wabongo wanavua tu vidagaa
Una urefu wa Km takribani 6853
......
hivyo vidagaa wamerdhika navyo wenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom