Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shimba ya buyenze umeamkaje

Ngoja nikutoe shaka, bitoz hajaanza leo kuwataja wasukuma au jana, tangu huu uzi umeanza mara nyingi hupenda kutaja wasukuma nani kwa utani si kwamba kwa sababu wewe upo au haupo hapana

Mpaka mimi ilifikia wakati wakati nikawa namtania kwamba lazima aoe msukuma maana si kwa mahaba hayo kwa wasukuma
Kifupi bitoz anawapenda sana wasukuma

Ndio maana hata jana alisema kiutani tu kuwa ile jamaa haipo, akiwa na sababu kuwa uje, na kweli ulikuja, sema ulikuja na tafsiri tofauti
Nashukuru umefafanua
Ingependeza zaidi ungepotezea
Msukuma anayefahamika humu KF ni EMMYGUY na wapo wengine wengi tu na tunawataniaga vya kutosha ila jamaa siku hizi siyo muingiaji sana humu KF

Sasa bwana yule hajatajwa jina halafu anajishtukia utafikiri kajamba
Mi niliamua kukaa tu kimya na kutomjibu maana siku hizi yupo ki--ve for everything kuhusu huu uzi au mimi pengine na nyinyi
Km katuchoka asepe zake moja kwa moja na sisi tuendelee na maisha yetu badala ya kuja Kutuzinguazingua

Shida ipo wapi ?
.......
 
Nashukuru umefafanua
Ingependeza zaidi ungepotezea
Msukuma anayefahamika humu KF ni EMMYGUY na tunamtaniaga vya kutosha na jamaa siku hizi siyo muingiazi

Sasa mtu hajatajwa jina halafu anajishtukia utafikiri kajamba
Ni niliamua kukaa tu kimya na kutomjibu maana siku hizi yupo ki--ve for everything kuhusu huu Uzi
Km katuchoka asepe zake moja kwa moja na sisi tuendelee na maisha yetu badala ya kuja Kutuzov buzzing ua

Na kuanzia now namuignore
Kwani nitapungukiwa kitu Maishani?

.......
Eti kama kajamba
 
Huu utafiti wa leo ni hewa kweli. Mi nakubaliana na wale wanaoongozwa na mwili sababu najua akili tulizonazo ni za kupewa na jamii kitu ambacho kwangu sio sawa.
Mwili wako ndio rafiki yako kwa kweli na siku ukiamua kuutii japo kwa 80% basi maisha yako yatabadilika hadi utashangaa.

Kuna sababu kuwa kwanini tunazuiwa kuitii miili yetu. Sababu hizo ni pamoja na za kiimani na kiutawala. They know exactly kitakachotokea pale tutakapokuwa tunaitii miili yetu.

Rafiki yako wa ukweli hapa duniani ni mwili wako tu, haujawahi kukuangusha na hautakuja kukuangusha no matter what
Sawa mkali
............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom