Huu utafiti wa leo ni hewa kweli. Mi nakubaliana na wale wanaoongozwa na mwili sababu najua akili tulizonazo ni za kupewa na jamii kitu ambacho kwangu sio sawa.
Mwili wako ndio rafiki yako kwa kweli na siku ukiamua kuutii japo kwa 80% basi maisha yako yatabadilika hadi utashangaa.
Kuna sababu kuwa kwanini tunazuiwa kuitii miili yetu. Sababu hizo ni pamoja na za kiimani na kiutawala. They know exactly kitakachotokea pale tutakapokuwa tunaitii miili yetu.
Rafiki yako wa ukweli hapa duniani ni mwili wako tu, haujawahi kukuangusha na hautakuja kukuangusha no matter what