Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
NaamMapacha mko wengi
NaamMapacha mko wengi
Mzima mkuuNaam
Hakika, sjui kwakoMzima mkuu
Mungu kanipa nafasi ya uhakika katika uzimaHakika, sjui kwako
Amen amen mkuuMungu kanipa nafasi ya uhakika katika uzima
hahahah! mkuu kuna jina langu kwenye hii torvic
Unapolima wewe? Ni ilejeMjini Mara nyingi nikitoka hapo narudi zangu ileje huko wanaita mkoa wa songwe
Ndio dingi japo mwaka huu natamani kuingia ifakaraUnapolima wewe? Ni ileje
Leo katika Historia
1958 - Mapinduzi ya Iraq yanafanyika na Abd Al-Karim Qasim anakuwa kiongozi wa kwanza wa Taifa hilo baada ya mapinduzi hayo.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
yaani mpendwa wangu wallahi mungu akuweke unajua kunifurahisha kwa kweli
Asante sana![]()
![]()
Leo katika Historia
1960 - Jane Goodall anawasili katika hifadhi ya Gombe nchini Tanzania kufanya utafiti wake maarufu kuhusu Sokwe na maisha yao msituni.
Aisee bas sawa nitakuchek kamanda nataka nijilipue hukoNdio dingi japo mwaka huu natamani kuingia ifakara
Sawa shemela barikiwaTuwe na siku njema...simulizi mpaka kesho leo ni pooooouuuuziiii
Sawa karibu sana mkuuAisee bas sawa nitakuchek kamanda nataka nijilipue huko
Leo katika Historia
1913 - Gerald Ford anazaliwa. Ni Rais wa 38 wa Marekani.
Ford anabakia kuwa Rais pekee wa Nchi hiyo kushika nyadhifa ya Makamu wa Rais baadae nyadhifa ya Urais bila kuchaguliwa kwa kura.
Alishika nyadhifa hizo kwa wakati tofauti kutokana na viongozi hao kujiuzulu.
Dah usinifanyie hivyo basiSawa mkali
............
Asante kamandaSawa karibu sana mkuu
Jamaa alisafiria nyota za wenzie![]()
Alifariki 2006 akiwa na umri wa miaka 93![]()
......
PamojaAsante kamanda